Recent content by Maro Ewald

  1. Maro Ewald

    Sasa kumekucha uchukuaji fomu za Ubunge, Wasanii wajiapiza

    haliwezi kuwa bunge hilo kwa style hiyo
  2. Maro Ewald

    Hizi promo nyingine, eti Diamond kalipwa pesa nyingi na BET!

    duh wabongo watu wa ajabu sana hapo angeandikwa yemi yalade ndo amelipwa wala msingebisha tena sana mngepongeza ila.CHIBU DANGOTE mnampinga,thus why aliimba ANAJUA ANAPINGWA ILA ANAAMINI ATASHINDA!!!™ndo hivyo anashinda sasa
  3. Maro Ewald

    Usaliti kwenye mapenzi, kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, mchepukoni ni sawa mateso na utumwa

    yanini kuhangaika na wengi,baki njia kuu and enjoy ur love
  4. Maro Ewald

    Elimu yetu imeingizwa siasa ndani yake

    utakuwa ulifeligi ww thus why now u feel jealous wenzio wakipasua kama vp rudi tena xul nawe result yako ipande kama unaweza
  5. Maro Ewald

    Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    kama ni kweli nimefurahi coz nampenda ZITO na ni vema akipata support
  6. Maro Ewald

    CHADEMA Imecheza Pata Potea, UKAWA Ndio Kaburi Lake La Milele Iliyojichimbia Yenyewe

    ni kweli chadema inapoteza mvuto day after day na sio kama zamani and things arw change
  7. Maro Ewald

    Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

    kijana humprey pole pole namwelewa sana huyu kaka kwani anajielewa na kujitambua vijana tuamke
  8. Maro Ewald

    Kwanini Lowassa sasa analilia UKAWA?

    haendi popote hizo porojo UMOJA NI USHINDI
  9. Maro Ewald

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    ni kutokujiheshimu tu
Back
Top Bottom