Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

Nimeribu kumsikiliza nikamtoa sijamuelewa kabisa. Yani leo nimemvua nyota zote.

Werema alisema vichwa sio vya kufugia nywele tu. aliposema Membe na Pinda na Lowasa wakatwe mapema au wajitoe alitukanwa sana. wote tumeona kilichotokea dodoma juzi Membe alipoingia 5 bora jinsi Kikwete alivyodhihakiwa na mwishowe Membe akatupwa nje. huoni kama ccm ilimaliza kikao ikiwa tulivu zaidi kuliko jana yake?
twende UKAWA Dr Slaa na Prof. Lipumba. Lipumba hamfikii Slaa kwa umaarufu kwa wananchi lakini je CUF na NCCR wako tayari kumuachia agombee? what if wangeleta mtu mpya (naamini UKAWA kuna presidential material wanaotosha) na wakamnadi kwa umoja wao na dhamira yao ya kuiondoa ccm. hatuombei lakini kama likitokea la kutokea na Slaa na lipumba wakakosa sifa za kugombea urais ina maana ukawa itakosa mgombea?
Mi naona UKAWA wanasumbuliwa na GREED tu. wakiangalia maslahi mapana Polepole watamuelewa tu la sivyo wataangukia pua na watampa Zitto neno la kusema
 
Huyu dogo sijui kala maharage ya wapi tena.....

Eti Lipumba na Dr. Slaa wasigombee ili kuleta sura ya Ukawa.

Inaonekana huyu Dogo wanamgombea wao hivyo anataka midebwedo kama kina Magufuli ili wapite kilaini.

Tatizo lenu ndio hilo,hampendi kushauriwa.kila mtu anayejua sayansi ya siasa atakwambia laivu kwamba kama UKAWA wanataka kubadili upepo wa kisiasa uliotengenezwa na kuchaguliwa kwa Dr Magufuli,basi hawana budi kumchagua mtu mpya lakini anayekubalika.mtu huyo si mwingine zaidi ya Tundu Lissu.nasubiri kuona upeo wa kufikiri wa UKAWA wakiongozwa na CHADEMA ulivyo kesho,wakimchagua Dr Slaa basi watakuwa wamemhakikishia Dr Magufuli ushindi wa kishindo kama ule wa Kikwete wa mwaka 2005.
Hizi ndizo sababu zitakazomfanya Dr Slaa ashindwe vibaya kwenye urais dhidi ya Dr Magufuli:
*Kura za Wakristu-Dr Magufuli anatarajiwa kuzibeba kura nyingi kidogo za Wakristu.Dr Slaa atazipata za Wakristu lakini hazitakuwa nyingi kama zile alizozipata mwaka 2010
*Kura za Waislamu-Dr Magufuli atazipata kura nyingi sana za Waislamu.Dr Slaa atapata kura chache sana.
*Kura za vijana-Hapa napo Dr Magufuli anatarajiwa kupata kura nyingi kidogo dhidi ya Dr Slaa
*Kura za Wanawake-Huo ndio mtaji mkubwa wa CCM
*Kura za wazee.-Ni mtaji mwingine wa CCM

Endapo atateuliwa Mwanasheria Tundu Lissu
*Kura za Waislamu-Hapa Tundu Lissu anaweza kumzidi Dr Magufuli kwenye kura za Waislamu
*Kura za Wanawake-Tundu Lissu anaweza kutoa ushindani mkali kwenye hili kundi la wapiga kura.Akina mama wanapenda wagombea vijana wenye mwonekano mzuri kama Tundu Lissu.
*Kura za vijana-Hapa Tundu Lissu ndipo kwenye eneo lake la kujidai,atazoa kura nyingi sana za vijana kwasababu yeye ni mwenzao na kingine vijana wanapenda toleo jipya,na Tundu Lissu ndio hilo toleo jipya.
*Kura za Wakristu-Tundu Lissu anaweza kuchuana vikali na Dr Magufuli kwenye kundi hili.

Haya ndiyo maoni yangu.
 
Wewe ni tapeli tu na dalali wa CCM. Acha kuwadanganya watu. Wewe ni CCM damudamu na records zako tunazo hapa JF. Sasa wewe CCM unawapangiaje UKAWA mgombea wa Urais kama sio uhuni huo? Mbona nyinyi UKAWA hawajawachagulia mgombea. Nyinyi muache wachague yeyote wanayeona anafaa na sio kuingiza propaganda na unafiki. Buhari sasa hivi ni Rais wa Nigeria. Unajua amegombea mara ngapi? Mbona Kikwete wakati anagombea mwaka 2010 nyinyi mlimuacha agombee tena mara ya pili? Kwa nini msingeweka mgombea mpya ili apambane na Dr.Slaa ambaye alikuwa anagombea kwa mara ya kwanza?
 
Unasema Tundu Lissu handsome boy sio!!!??
 
Population report indicates more than 60% 0f population are youth below 35 years of age.these are dynamic and form potential voting group which strategically amnd politically need relevant or corresponding presidential candidate.I might agree with Tundu being relavant to this group.
 
Wewe ni tapeli tu na dalali wa CCM. Acha kuwadanganya watu. Wewe ni CCM damudamu na records zako tunazo hapa JF. Sasa wewe CCM unawapangiaje UKAWA mgombea wa Urais kama sio uhuni huo? Mbona nyinyi UKAWA hawajawachagulia mgombea. Nyinyi muache wachague yeyote wanayeona anafaa na sio kuingiza propaganda na unafiki. Buhari sasa hivi ni Rais wa Nigeria. Unajua amegombea mara ngapi? Mbona Kikwete wakati anagombea mwaka 2010 nyinyi mlimuacha agombee tena mara ya pili? Kwa nini msingeweka mgombea mpya ili apambane na Dr.Slaa ambaye alikuwa anagombea kwa mara ya kwanza?

I am not bothered by your name calling, call me whatever you want but I won't go down the same pathetic road you chose,I will choose the high road instead.
Again you're wrong about my political affiliation, I wonder why you guys like so much to pigeonhole people who raise dissenting views about CHADEMA as CCM sympathizers. Why are you so judgemental?
 
Usimwamini mtu yeyote wa ssiem ccm, hata kama ndugu yako, CCm ni hatari kwa taifa letu. Huyo Polepole tangu ajitangaze rasmi kuw yeye ni wa Lumumba, hafai tena kwa vyovyote vile. Haishangazi huyo huyo Polepole anaweza kuiunga mkono katiba mbovu inayopendekezwa muda wowote. Hafai kabisa.
 
kijana humprey pole pole namwelewa sana huyu kaka kwani anajielewa na kujitambua vijana tuamke
 
Back
Top Bottom