Mwanangu ameliza Form Six mwaka huu na anatakiwa kujiunga na chuo, ili apate mkopo anatakiwa aombe akiambatanisha cheti cha kuzaliwa.
Alikuwa na cheti cha kuzaliwa cha zamani ambacho alikituma RITA kwa ajili ya uhakiki lakini kilikataliwa kwa kigezo kuwa ni cha zamani hivyo aombe kipya...
Agizo la serikali ni kuwa shule za binafsi ziwe na mihula miwili kwa mwaka kama shule za serikali. Baadhi ya shule kama hiyo hapo chini imekiuka makusudi kwa kigezo cha darasa la saba. Lakini ada yao imekuwa juu mno kulinganisha na shule zingine.
Nafikiri kwa Rais kukaa kimya ni silaha nzuri zaidi kuliko kuanza kujikombakomba kwa wanaojiona ni wakubwa. Sisi ndiyo wanaotuhitaji kuliko tunavyowahitaji wao kimalighafi. So mh. Rais komaa wasikuelewe. Wakija wenyewe unawapa masharti kama hataki aondoke
Dr.Slaa nilimuheshinu sana na kumpenda sana lakini kwa matamshi yake haya ya leo, nimejisikia vibaya sana juu yake. Kwa nn hituba yake imemlenga tu mtu mmoja? Inavyoonekana hayo aliyoongea yameandaliwa aje ayaseme ili kuwaaminisha watu. Pamoja na upendo wangu kwako ni lazima nipige kura ya...
Nyumba za kuishi (residential), majengo ya maofisi, magari ya abiria n.k. vinatakiwa kisheria kuwa na milango ya dharura. Hivyo sioni sababu kwa nn ofisi ya mwale isiwe na mlango wa dharura na pia ofosi ile ni kubwa ina vyumba vingi.
Mbona nimesikia shamba alilonunua ni kwa ajili ya machimbo ya mawe na wakati wanafurahia walikuwa kwenye sehemu hiyo. Wakati furaha imezidi kijana akapandwa na mori ya kimasai aliruka juu wakati wa kutua akatua juu ya jiwe.
Amani kwenu wana Jamii forum. Natafuta printer nzuri inayoweza kuprint karatasi za A3 na ya bei nafuu na wino uwe wa nje. Mwenye kufahamu mahali naweza kupata tafadhali. Nipo Arusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.