Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,804
Kama inasikilzwa kwa siri umeyapata wapi yote haya unayotueleza? Umepata wapi kibali cha kuyasambaza?
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari
Kama inasikilzwa kwa siri umeyapata wapi yote haya unayotueleza? Umepata wapi kibali cha kuyasambaza?
hiyo ni dili tu, prosecutor amekula na mbasha. inakuwaje, kwani kesi ipo kwenye defence? kama wakili wa serikali anayeendesha hiyo kesi aliona shahidi doctor ata turn hostile namna hiyo alimpeleka wa nini? na zaidi ya yote, i hope huyo wakili wa serikali anayeendesha shitaka ataipeleka na ile audio ya mbasha akiomba msamaha kwa shemeji yake kwa kumlala. na ijulikane kuwa kubaka kwa mbasha hata kama hakutakuwa moja kwa moja, kutategemea na umri wa binti ili kuangukia kwenye statutory rape yaani kulala na binti miaka chini ya 18 hata kama alikubali ni kubaka kisheria. hivyo aombe Mungu umri wa binti uwe zaidi ya miaka 18 na ile audio aliyorekodiwa aombe Mungu isijulikane kuwa ni yeye. mwendesha mashitaka wa hiyo kesi ameelekezwa cha kufanya hasa kutokana na ugomvi wa gwajima na serikali.mbona iko wazi hivi?anataka watu waamini allegation against gwajima na flora ili wammalize.ndo mwanzo wa ukweli kujulikana...
ulitaka daktari afanyeje wakati ndo wakati wake sasa wa kutoa ushahidi?!
mkuu ulitaka daktari aupeleke wapi ushahidi ikiwa kesi ndo imesomwa?Kwa hiyo ushahidi ndiyo umepatikana Jana?daktari kapima kipindi kile sasa kwa nini asithibitishe mahakamani tokea kipindi kile? Walikaa na shemeji mtu kumfanyia uchunguzi tokea kipindi kile? Leo ndiyo muda mwafaka wa hawa wazandiki kuunganisha mambo ili watimize azma yao. Msisahau sauti za watu ni kubwa wakichoka utawala wa mabavu.
hiyo ni dili tu, prosecutor amekula na mbasha. inakuwaje, kwani kesi ipo kwenye defence? kama wakili wa serikali anayeendesha hiyo kesi aliona shahidi doctor ata turn hostile namna hiyo alimpeleka wa nini? na zaidi ya yote, i hope huyo wakili wa serikali anayeendesha shitaka ataipeleka na ile audio ya mbasha akiomba msamaha kwa shemeji yake kwa kumlala. na ijulikane kuwa kubaka kwa mbasha hata kama hakutakuwa moja kwa moja, kutategemea na umri wa binti ili kuangukia kwenye statutory rape yaani kulala na binti miaka chini ya 18 hata kama alikubali ni kubaka kisheria. hivyo aombe Mungu umri wa binti uwe zaidi ya miaka 18 na ile audio aliyorekodiwa aombe Mungu isijulikane kuwa ni yeye. mwendesha mashitaka wa hiyo kesi ameelekezwa cha kufanya hasa kutokana na ugomvi wa gwajima na serikali.mbona iko wazi hivi?anataka watu waamini allegation against gwajima na flora ili wammalize.

tufanye mbasha kashinda kesi ya ubakaji..labda kweli hakumbaka..ila hata kama walifanya kwa maridhiano zen badae msichana ndo akamgeuka..still dhambi ya usaliti haikwepeki..ukisikiliza ile audio ya mazungumzo ya simu kati ya mbasha na huyo binti(anayesadikiwa kubakwa) utaona kuna tatizo tu sumwhere
we unayejua kitu ni nani? nimeamua nisikutukane kwasababu nimeona inawezekana wewe ni demu tu. siwezi bishana. hebu tubishane kisheria, huyo doctor ni PW wa republic ameletwa kwaajili ya nini, na alihojiwa na kuandaliwa kabla ya kuingia mahakamani kama ilivyo kawaida, na anaingia mahakamani kuongea against the charge sheet sasa si wangeondoa tu iyo kesi kwa 91(1) au 98(a), wanaishikilia wakiwa na matumaini gani?Hujui kitu kaa kimya pumbafu wewe
Kitaeleweka tu Mungu hadhiakiwi.
tufanye mbasha kashinda kesi ya ubakaji..labda kweli hakumbaka..ila hata kama walifanya kwa maridhiano zen badae msichana ndo akamgeuka..still dhambi ya usaliti haikwepeki..ukisikiliza ile audio ya mazungumzo ya simu kati ya mbasha na huyo binti(anayesadikiwa kubakwa) utaona kuna tatizo tu sumwhere
wewe ni mstaarabu, nitakujibu. kinachotokea ni kwamba, uendeshaji wa kesi huanza kwa hati ya shitaka kusomwa, na baadaye preliminary hearing (ph) baada ya hapo mwendesha mashitaka ataomba tarehe ya kusikilizwa ambapo ataleta mashahidi na vielelezo. mashahidi watakao letwa ni wale wanaokuja kuprove kesi yake, sio wale wanaokuka kuharibu kesi yake. Daktari ktk kesi hiyo analetwa kwasababu alijaza pf3 na anatakiwa kuielezea yeye kama mtaalamu aliyeijaza. hii pf3 huwa inakuwepo kwenye jalada la jamhuri hata kabla hawajafungua kesi mahakamani kwa maana kwamba jalada likitoka polisi linapelekwa kwa mawakili wa serikali ambao wataangalia ushahidi wa mashahidi na vielelezo na kuamua kama kesi iende mahakamani au la.mkuu..mimi si mjuzi wa sheria..ila niko tayari kufundishwa!!kama kesi inahusisha dr je anatakiwa akatoe ushahidi wa kumwona mshitakiwa ana kosa?kama kweli vipimo vimeonyesha hakubakwa je dr haruhusiwi kusema hivyo?lakini pia kuhusu issue ya audio uliyosema ni ya mbasha una uhakika kuwa ni kweli ni mbasha na siyo mtu mwingine?!sina upande katika hii kesi!!