marksalewi
Member
- Apr 7, 2012
- 96
- 25
Toka bunge hili limeanza takribani wiki na nusu sasa hatumwoni naibu spika anayefahamu atujuze tafadhali.
Toka bunge hili limeanza takribani wiki na nusu sasa hatumwoni naibu spika anayefahamu atujuze tafadhali.
mawazo ya ganja hayaAkirudi anajiunga na ukawa
Kasumba yetu ni kuchanganyikiwa tuonapo wazungu hata kama hawana jipya, anyway nadhani ni namna ya kujipendekeza ili kutupiwa vibiskuti na mitumba
Niliona Ikulu ya magogoni jana ikilindwa na askari wa JWTZ wakiwa na silaha nzito nzito!!! sasa sijui walikuwa wanamlinda JK ama rais huyo wa Ujerumani!!
Uliona jana!!! ina maana si kawaida kuona hivyo. So it is obvious kwamba mabadiliko hayo yalienda sambamba na ugeni huo.