Epson L210 Printer Mpyaa na mitungi ya wino nje

kama kweli unafanya biashara weka picha na bei ,acha mambo ya pm ,watakupm wangapi.Au biashara hii ni siri mkuu.
Jipatie Epson L210 Printer Mpya kwa bei poa. Wino ni wa nje, Ina scanner, copier na printer hapo hapo. Kwa maelezo zaidi na bei ni PM au piga 0754626616. Karibuni ipo Arusha na utatumiwa popote ulipo.
 
kama kweli unafanya biashara weka picha na bei ,acha mambo ya pm ,watakupm wangapi.Au biashara hii ni siri mkuu.
Ndugu tusiwe wavivu na tusiendekeze uvivu kama ni mhitaji kweli atapenda kufahamu zaidi kuhusu hii pinter zaidi ya picha tu. Nakufundisha na wewe ukihitaji kitu na model yake imeshawekwa wazi jambo la kwanza hakiki mwenyewe maelezo ya muuzaji kama ni ya kweli kwa utafiti wako binafsi yaani 'google' upate maelezo ya kina na ya ziada kwani hakuna mfanya biashara atakayetaja mapungusu ya bidhaa yake kama yapo ila utafiti wako binafsi utayagundua kabla ya kununua. Kama muda huna au unaona uvivu utalizwa sanaaa. Karibu na shukran kwa maoni yako.
 
Sawa mkuu ila ulikuwa ushauri wa bure,fikiria kila mtu akufuate PM inakuwaje,huoni unaokoa muda kwa kuweka kila kitu hadharani.
Ndugu tusiwe wavivu na tusiendekeze uvivu kama ni mhitaji kweli atapenda kufahamu zaidi kuhusu hii pinter zaidi ya picha tu. Nakufundisha na wewe ukihitaji kitu na model yake imeshawekwa wazi jambo la kwanza hakiki mwenyewe maelezo ya muuzaji kama ni ya kweli kwa utafiti wako binafsi yaani 'google' upate maelezo ya kina na ya ziada kwani hakuna mfanya biashara atakayetaja mapungusu ya bidhaa yake kama yapo ila utafiti wako binafsi utayagundua kabla ya kununua. Kama muda huna au unaona uvivu utalizwa sanaaa. Karibu na shukran kwa maoni yako.
 
Ndugu tusiwe wavivu na tusiendekeze uvivu kama ni mhitaji kweli atapenda kufahamu zaidi kuhusu hii pinter zaidi ya picha tu. Nakufundisha na wewe ukihitaji kitu na model yake imeshawekwa wazi jambo la kwanza hakiki mwenyewe maelezo ya muuzaji kama ni ya kweli kwa utafiti wako binafsi yaani 'google' upate maelezo ya kina na ya ziada kwani hakuna mfanya biashara atakayetaja mapungusu ya bidhaa yake kama yapo ila utafiti wako binafsi utayagundua kabla ya kununua. Kama muda huna au unaona uvivu utalizwa sanaaa. Karibu na shukran kwa maoni yako.

Sure uko sahihi Mchungaji
Mimi ninayo coloured hp ina printer na coppier bei 150,000/=
 
Attachments

  • 1421691933036.jpg
    1421691933036.jpg
    52.1 KB · Views: 138
  • 1421691951877.jpg
    1421691951877.jpg
    48.4 KB · Views: 118
Last edited by a moderator:
Arusha mnajitokeza jf kwa busness big up kila siku dasalama tu
 
Back
Top Bottom