marksalewi
Member
- Apr 7, 2012
- 96
- 25
Agizo la serikali ni kuwa shule za binafsi ziwe na mihula miwili kwa mwaka kama shule za serikali. Baadhi ya shule kama hiyo hapo chini imekiuka makusudi kwa kigezo cha darasa la saba. Lakini ada yao imekuwa juu mno kulinganisha na shule zingine.