Recent content by mark1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    wapendwa mimi nadhani hii ndege inaweza kutumia barabara kama ya kutoka dukabovu kuelekea kisongo kama running track ya kurukia kwa dharura.naomba kuwasilisha wazo langu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania nimwelewe vipi?

    we come to love not by finding perfect person,but by learning to see an imperfect person perfectly
  3. M

    JamiiForums Tanzania nimwelewe vipi?

    work like u dnt need money,love like you've never been hurt and dance like nobody is watching you.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, mke wangu ananibaka?

    kwani hujui maana ya ndoa hadi unasema anakulazimisha!?unadhani kwao hakuna chakula au nguo nzuri? timiza mahitaji ya ndoa yako usije baadae ukatuletea mada nyingine"mke wangu ananisaliti".akili kichwani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    demu au mke wako?kama demu wako kwanini mfanye mapenzi kabla ya ndoa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vasectomy imeniponza: Mke wangu ana mimba ya wajanja, nifanyeje!

    kaka pole sana lakini ni jambo la kawaida hapa duniani ila likikutokea linauma sana na unaweza poteza uelekeo wa maisha. nakumbuka jamaa mmoja ilimtokea kama wewe,aligundua mkewe ana mimba ya mwanaume mwingine.akaamua kwenda kwao kueleza familia yaliyompata.jamaa msimamo wake ulikuwa ni kumtosa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

    man city 2-man u 3.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani,laptop inaniumiza kichwa!!!

    jaribu ku restore computer.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Car registration and Ladies

    BSL Be Strong to Ladies.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Car registration and Ladies

    BRL Be Romantic to Ladies
  11. M

    JamiiForums Tanzania Car registration and Ladies

    BDL Be a Doctor of Ladies
  12. M

    JamiiForums Tanzania hivi hii kitu inawezekana camera kwenye PC

    lenovo wametoa pc ambazo cpu yake ni inbuilt kama laptop na ina webcam.nimenunua last week.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa BBC Fred Mtoi afariki dunia

    bwana ametoa ,bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuchaguliwa mchumba jamani

    umeshakula wangapi hapo?lete contact zao nikuonjee wote kisha ntakupa jibu sahihi.:confused:
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba fc kimenuka hali si shwari tena. Kaseja na Kaburu wakalia kuti kavu

    Mpira ni KUSHINDA, KUSHINDWA AU SARE. Michezo ni AFYA, FURAHA, UPENDO. nyoso kapelekwa simba b.kaseja sijui atapelekwa wapi!!?tusubiri majibu yake.
Back
Top Bottom