Nisaidieni jamani

ELWA MAN

Member
Dec 7, 2012
6
1
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie, demu wangu anataka tufanye mapenzi kila siku. Hivi nifanyaje jamani
 
Chapa kijana acha kulalamika. Kama mkikutana mara 2 kwa wiki unapigaga goli tatu kwa mechi, zigawanye fanya moja kila siku!
 
tatizo ni nn hapo sasa. wanaume wanapiga nje daily na home anasubiri zamu.
ila huyo demu kicheche, ina maana ukizembea kidogo tu, wajanja wanapita nae kwa speed ya jet engine.
gonga kwa muda fulani halafu sepa
 
Back
Top Bottom