Msaada jamani,laptop inaniumiza kichwa!!!

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Nilikuwa natumia AVG 2012 trial hadi last week ilipoexpire nikaitoa.Baada ya hapo computer yangu haiconnect kwenye internet,si modem wala wireless. Nikiweka modem network inasoma kama kawaida 3G na GPRS lakini nikitaka kuconnect inagoma. Nimejaribu kureinstal modem several times with no success.Naombeni msaada tafadhali.
 
kama ulikuwa unatumia ant-virus kama AVG,Avira,Panda na zingine za free endapo ukizitoa na wakati unatumia ulikuwa unaziupdate basi ujue huwa zinakuwa na infection kwenye Fire wall za kwenye mashine na hivyo zinaweza zinafita baadhi ya mafile kwenye window hivyo kaka kinachochangia hapo na kinaweza kuwa tatzo
 
So mkuu what can be the way forward. Maana naona hapa ndo nishakwama hivyo. Halafu vipi nikipiga chini windows,can that be a solution so far?
 
Jaribu lifuatalo, tafuta computer yenye internet kisha download AVG Removal Tool kisha install kwenye laptop yako kisha i-run hiyo tool kuondoa masalia ya AVG maana mara nyingi trail versions huwa zinaacha masalia ambayo hu-block baadhi ya strings za registry.
Ikigoma waona madaktari.
 
Ngoja nijaribu. Halafu kabla ya kwenda kumwona daktari,vipi issue ya kupiga chini windows?
 
Najua unaumia kichwa kupiga chini windows yako , msaada nipigie nikusaidie 0719-504567 send sms kama haipo hewani, kwa faida ya wengine nitajibu hapa naomba ufanye hivyo kwanza
 
Jaribu lifuatalo, tafuta computer yenye internet kisha download AVG Removal Tool kisha install kwenye laptop yako kisha i-run hiyo tool kuondoa masalia ya AVG maana mara nyingi trail versions huwa zinaacha masalia ambayo hu-block baadhi ya strings za registry.
Ikigoma waona madaktari.

Njia hii imekubali. Thanks dude!
 
Najua unaumia kichwa kupiga chini windows yako , msaada nipigie nikusaidie 0719-504567 send sms kama haipo hewani, kwa faida ya wengine nitajibu hapa naomba ufanye hivyo kwanza

Nimefanikiwa mkuu. Thanks for your concern.
 
So mkuu what can be the way forward. Maana naona hapa ndo nishakwama hivyo. Halafu vipi nikipiga chini windows,can that be a solution so far?

ukisema upige window chini ni moja wapo ya solution ila pia unaweza ukafanya recover ya restored ya window uliyoiweka ndani humo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom