This is my point of view too... Ani iko hivi
Sio jukumu la mtoto kumlea mzazi ... Ni jukumu la mzazi kumlea mtoto ... Mama yangu na baba yangu wamenilea nimefika hapa nilipo wamemaliza jukumu lao ... Ni jukumu langu kulea familia yangu(mke na watoto) nao niwafikishe level ya kujitegemea... Sasa...
Mimi nimepaua hidden roof ... Haivuji .... But kama unachagua namna ya upauaji kwa ajili ya kupunguza gharama wewe bora upaue paa la kawaida tu. Ukijichanganya kwenye hidden roof eti unapunguza gharama utaimba haleluya [emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.