Jinsi ninavyopata Faida ya 45,000/= kwa siku, huku nikiendelea na kazi zangu kila siku

Tarudi kuisoma vzr baadae, ila naona km ni TANGAZO la fekon hili
Sawa kiongozi ni mtazamo kwako pia, nimeambatanisha na excel yangu hapo juu ya hii biashara. Mm sio dereva wa pikipiki nimesema nafanya kazi yangu as a Teacher full time nipo JOB from 0800 to 1600. Sina haja ya kuweka Tangazo hapa kwenye great thinkers
 
Nmelisoma andiko vzr sasa, twende mbele turudi nyuma. Hakika umeupiga mwingi!
 
Me nataka maelezo kuhusu biashara ya bajaji...
Maelezo ya bajaji kwa ufupi ni kwamba inauzwa 7.5 m mpaka 8 millions na hesabu yake kwa siku ni 15,000/= mpka 25,000/= inategemea na eneo la biashara. Mfano bajaji ilyopo dar pale mbezi au ubungo au kkoo hesabu zake ni tofauti na mtu anayefanya hiyo biashara korogwe, msata, chalinze au sehem za vijijini.

Na faida ya bajaji utaiona ndani au baada ya miaka miwili ya marejesho.

Kuna uzi mzuri sana upo hapa jamiiForum unaelezea hii biashara ya bajaji. Upo vzuri sana
 
Mkuu unaweza kunisaidia hiyo format ya Excel? Nimeona hapo juu ila natamani nijifunze zaidi kuhusu mfumo unaotumia kusimamia marejesho yako...!
Nitakutumia ipo kwenye pc, nitaedit baadhi ya documents then nitakutumia uione yaani ni kuweka kumbukumbu tu ya kila dereva. Kiasi alicholeta na deni lake.

Mfano mimi nawekaga kumbukumbu ya marejesho ya kila dereva kwa siku kumi za kazi yaani kama ameleta 80,000 ndani ya siku kumi basi naandika paid ni 80K na deni ni 20K so formula inajicalculate yenyewe.
 
Yule derev alienda na watu kufanya ujambaz masaki. Derev akajua msala akajisalimisha osterbay. Nikawa katikati ya mambo yote Kama mmiliki. Ilisumbua kweli kweli. .
Aise, haya mambo ni changamoto kweli
 
Maelezo ya bajaji kwa ufupi ni kwamba inauzwa 7.5 m mpaka 8 millions na hesabu yake kwa siku ni 15,000/= mpka 25,000/= inategemea na eneo la biashara. Mfano bajaji ilyopo dar pale mbezi au ubungo au kkoo hesabu zake ni tofauti na mtu anayefanya hiyo biashara korogwe, msata, chalinze au sehem za vijijini.

Na faida ya bajaji utaiona ndani au baada ya miaka miwili ya marejesho.

Kuna uzi mzuri sana upo hapa jamiiForum unaelezea hii biashara ya bajaji. Upo vzuri sana
Asante kwa maelezo mazuri..... Subiri niutafuteee huo uzi
 
Back
Top Bottom