Recent content by Marjani

  1. M

    Mwenge wa Uhuru

    Mwenge una faida nyingi kubwa kuliko zote ni; 1. Unajenga Uzalendo na Umoja. Wakimbiza Mwenge hawatoki Mkoa mmoja lkn Mwenge huwaunganisha. Wananchi Mwenge unakopita hupata taswira ya umoja wetu. 2. Mwenge unaharakisha ukamilifu wa miradi ya Maendeleo 3. Mwenge ni mwakilishi wa Rais, taarifa...
  2. M

    Sakata la Kilindi na mauaji ya kijiji cha Madina, Handeni: Kupotea (kuuliwa) kwa Rajab Omari Mtana

    Najua ni vigumu kuamini maovu ya kundi hilo, lakini mtaka ukweli aende kijiji cha Lwande kuuliza Wananchi wa hapo juu ya kundi hilo utapata ukweli. Na ni vema utakapoenda ukajisema kuwa wewe ni mtafiti maana waweza kuuawa na waislam wa Lwande, Lulago na Kwamfyomi. Matendo mabaya ya makundi hayo...
  3. M

    Sakata la Kilindi na mauaji ya kijiji cha Madina, Handeni: Kupotea (kuuliwa) kwa Rajab Omari Mtana

    Mimi ni mkazi wa Kilindi kundi la Wahuni waliojiita waislam liliweka kambi kijiji cha Lwande (kambi hiyo iliitwa Kandahari) kambi nyingine iliwekwa kijiji cha Kimamba kata ya Negero ilijulikana kama Madina. Jamaa hao waliungana na baadhi ya wenyeji na kuweka kambi hizo. Wakiwa maeneo hayo...
  4. M

    Nahitaji mume sio mchumba

    Sifa zote ninazo lkn nami ningependa nitest hiyo nani hiiiiii".......... !!! Si unajua yaweza kuwa haiendani na ninayotaka Mimi. Pia toa contacts zako tutafutane. Kununua mbuzi kwenye gunia is not an issue. You know!!?
  5. M

    NG'os zinazoshughulikia matatizo ya watoto zikowapi?

    Watanzania tuna tatizo la kuangalia wajibu wa wengine na kusahau wa kwetu. Mfano mtoa mada hajasema yeye amewasaidiaje baada ya kuwaoona hapo!!!! Au amewavizia akapiga picha na kuleta lawama zake kwa wengine. Tafakari Chukua Hatua
  6. M

    MUSA na NEEMA wako wapi?

    Ila ile story ya Manenge ilikuwa bomba sana " Tumbo niache nimwachie Manenge Uji" Hawa vijuza nadhani walishakufa kwenye ile hadithi
  7. M

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Wasanii ni binadamu na wana haki kujiunga na Chama chochote wanachokipenda kuwabeza ni ufinyu wa uelewa wa demokrasia. Lkn pia wasanii wanaoona Chama makini na chenye mwelekeo wa kimaendeleo. Baadhi ya vyama hapa Tz havina ustaarabu na vina lugha chafu ambazo kwa Watanzania wenye Akili timamu...
  8. M

    Mkurugenzi mkuu TCB afumaniwa Uko Pasua

    Kesi ya ugoni ni madai na hivo haianzii polisi. Inaenda direct courtin ndo maana polisi walimeachia
  9. M

    Jacqueline Silemu wa ITV...

    Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.
  10. M

    Za mwizi arobaini

    Duh mkono wa sweater umeachwa wazi kwetu ni deal sana hilo. Kweli kipigo hakivumiliki hata mkono wa sweater umesinyaa! !!!?
  11. M

    Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    Huyo Women Police(WP) hafai kabisaaa, mchungaji mla wake za watu ndo apewe kuiongoza nchi!!!? Wote mlie karibu nae mtakuwa wake zake.
  12. M

    Mwaka mpya ni mwaka wa kidini au wa kiserikali..!?

    Mwaka Mpya ni mwaka wa dini hususani dini ya kikristo kwa sababu hii miaka inahesabiwa kuanzia alipozaliwa Nabii Issa ( Yesu Kristo). Na suala la saa kuanza saa 6:1 Ucku ni suala la kijiografia kwani linategemea mzunguko wa dunia. Ushauri Wangu kwa Watanzania minor things kama hizi zisitufanye...
  13. M

    Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    Mimi ni Muislam na nipo Kilindi kulikotokea hayo yanayosemwa. Kiukweli walioshambuliwa na polisi SI WAISLAM kwa matendo yao. KUFUNDISHA WATOTO KUUA, KUCHUKIA MAKUNDI FULANI YA JAMII, KUNYANG'ANYA ARDHI WATU, KUUA WATU HADHARANI KAMA KULE LULAGO, KUKATA WATU MIKONO, KUENDESHA MAFUNZO YA KIJESHI...
  14. M

    Rais anisukuma nipigane vita

    Acha unafiki. Acha kulisha watu sumu, kama ulishiriki kikao hicho kwann hukusema mapema. Huo ni unafiki na uzandiki, tutaaminije maneno yako pasipo kielelezo chochote!!? Wadanganye wasio na uwezo wa kutafakari mambo mimi muelevu siwezi kamwe kuamini uzushi wako. Lindeni heshima ya nchi yetu kwa...
  15. M

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Hao ndio wapewe madaraka!!!!!? Nchi yote itakuwa ni ya mahayawani. Too much ubinafsi , too much unafiki, too much ukabila. CHADEMA hao. Watanzania oneni Mungu anavotupenda, tuwaepuke CHADEMA too much ujingaaaaaaaaa
Back
Top Bottom