Mkurugenzi mkuu TCB afumaniwa Uko Pasua

Mkurugenzi mkuu TCB afumaniwa Uko Pasua

Habari wana JF,

Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.

Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.

Bwana SGT Tafadhali be specific Hoja hapa ni kukamatwa Ugoni au kufukuza watu kazi ama cheo chake kazini( ukurugenzi)?
Halafu polisi sio jela kuna kitu kinaitwa dhamana
Kwanini wewe linakuuma sana pengine mwenye mke alitaka yaishe halafu unazungumzia nafsi moja wakati wagoni ni wawili?

Sheria haina ubaguzi wa jinsia.
 
Habari wana JF,

Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.

Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.

Mbona hueleweki unawalaumu polisi kwa kumtia hatiani kwa kufumaniwa au kwa kunyanyasa watumishi wenzake
 
Duh, nimepata hasira mbayaaaa. hawa mabazazi sina muda nao... nipiga 0713...basi
 
Habari wana JF,

Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.

Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.

mburula wewe hayo ni mambo binafsi ya mtu kama anashida ya kiutendaji kuna sehemu za kwenda kutoa malalamiko kenge wewe.
 
umekwenda nje ya mada mkuu hoja ya msingi ni kufumaniwa

Kuna hoja ndani ya hoja kuwa alifumaniwa alihonga mapolisi wakamwachia huru, ndio maana nimeuliza kufanya mapenzi na mwanamke mtu mzima kwa hiari yake ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?
 
Ni Bodi ya Kahawa mnafitiniana sana. Mnatumia fedha nyingi za umma kupiga umbea ofisini badala ya kazi?

?NDIO MLIOMFANYIA HAYA?
FA Mkurugenzi Bodi ya Kahawa avamiwa, aibiwa gari

SHARE BOOKMARK PRINT EMAIL RATING

NaDaniel Mjema, Mwananchi

Posted Jumatano,Oktoba9 2013 saa 11:23 AM

KWA UFUPI Wezi hao walifanikisha dhamira yao baada kumteka mfanyakazi wa ndani na kisha kumfunga kamba mikononi na vitambaa usoni. Gari lililoibwa ni Toyota Raum namba T643 CDZ rangi ya Bluu.

SHARE THIS STORY

10

2 1

Tweet Tweet

Recommend Recommend Share Share

Building a Radio Studio?

Broadcast studio Pro Radio Station Technology

Setup Advice, Design & Construction Turn-key Solutions from the Experts

Moshi. Watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa (TCB), Adolf Kumburu iliyopo Shanty Town, mjini Moshi na kuiba vitu mbalimbali vyenye thamani ya mamilioni ya shilingi likiwamo gari.

Wezi hao walifanikisha dhamira yao baada kumteka mfanyakazi wa ndani na kisha kumfunga kamba mikononi na vitambaa usoni. Gari lililoibwa ni Toyota Raum namba T643 CDZ rangi ya Bluu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alithibitisha jana kutokea kwa tukio lililofanywa kati ya saa 6.00 na saa 7.00 mchana.

“Ni kweli, tukio limetokea na miongoni mwa vitu vilivyoibwa ni gari. Mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa na tunaendelea na uchunguzi,” alisema Kamanda Boaz.

Kamanda Boaz ametoa wito kwa wananchi wenye taarifa zitakazofanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao pamoja na vitu vilivyoibwa waziwasilishe kwa siri kwake ama kwa maofisa wake na majina yatahifadhiwa.

Akizungumza na gazeti hili jana, Kumburu alisema wezi hao walifanikiwa kuiba vitu mbalimbali na kuvipakia katika gari lake.

Mbali na gari hilo, pia televisheni aina ya Samsung Flat Screen, Deck aina ya Phillips, Micro-Wave, kompyuta mpakato aina ya Apple Mac Book, Samsung Min-Tablet na Digital kamera mbili pia viliibwa.

Kwa mujibu wa Kumburu, wezi hao huenda
walitumia mazingira ya ukimya katika eneo
 
Je ni kafumaniwa au wamefumaniwa?

Kwa uelewa wangu mdogo, tendo la kufumaniwa ni lazima lihusishe watu wawili, kwanini kila wakati mwanamke huwa hausishwi moja kwa moja ukizingatia yawezekana yeye ndiye aliyetongoza na kufanya mpango mzima wa kugegedwa?

Ni vyema iwe inasemwa "wamefumaniwa".
 
Kesi ya ugoni ni madai na hivo haianzii polisi. Inaenda direct courtin ndo maana polisi walimeachia
 
Back
Top Bottom