Recent content by marion09

  1. marion09

    JamiiForums Tanzania Shamba langu. Bustani ya ndoto zangu

    Usisubiri kustaafu, anza sasa
  2. marion09

    JamiiForums Tanzania CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Hakika, amenisikitisha sana mtu wa Kariba yake kutokuw na umelewa wa social protection schemes. Sasa alitaka wastaafu watibiwe na nini. Alichokisema ni typically tabia za weusi kula na kuvimbiwa na kusahau kesho IPO. Anyway labda kwakuwa yeye atapata premium service kwa nafasi yake akistaafu..
  3. marion09

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika

    Sababu ya msingi ya kufeli NHIF ni serikali na watumishi wa NHIF kukopa mfuko. Serikali inazunguka mbuyu!
  4. marion09

    JamiiForums Tanzania Kazi ya MONUSCO ni kulinda Amani au kuisadia Congo dhidi ya M23?

    Safari hii huu mgogoro unaisha. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa Congo kuchezeshwa ndombolo na makundi ya waasi wakati nchi ina kila kitu.
  5. marion09

    JamiiForums Tanzania Kazi ya MONUSCO ni kulinda Amani au kuisadia Congo dhidi ya M23?

    Mission iliyopo huko sio ya Monusco. Ni sadc ambao Tshisekedi aliomba kwa wakuu wa Sadc wakamsaidie kupora waasi silaha na kurejesha amani. Kwasababu serikali ya Congo inawatambua M23 kama waasi ndio maana hivyo vikosi vimepewa maelekezo ya kutoa kichapo kwa hao kunguru. Mind you, hili swala ni...
  6. marion09

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Na hicho ndio kinachotafutwa.. Uhalali wa kutoa kipigo cha mbwa mwizi
  7. marion09

    JamiiForums Tanzania Asili ya wazungu na wengineo hii hapa

    Kweli ina utata mwingi ila ishu ya samaki umepuyanga mkuu.. Aliiangamiza dunia kwa maji so samaki hawajawahi dhurika na maji
  8. marion09

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Duh, nimekumbuka mbali sana! Nipo Drs la pili au la tatu Forodhani, bro alipelekwa Rungwe
  9. marion09

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechezea za mbavu leo

    Nimecheka sana ''eti niwe dereva wako mtiifu''
  10. marion09

    JamiiForums Tanzania Kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel

    Mkuu, naomba hiyo template ya excel ambayo ulikuwa unaitumia.. Natanguliza shukrani.
  11. marion09

    JamiiForums Tanzania Waturuki wamekuja na mabalaa yao

    Dada poa hawezi kuwa dada yako? ...
  12. marion09

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wana uwezo ila hawanunui mashine za kufulia

    Mkuu kwa masaa takriban sita itatumia umeme kiasi gani/units
  13. marion09

    JamiiForums Tanzania Vijitabia vipi "unique" ambavyo ukivifanya vinakupa amani moyoni na "relaxation" ?

    Kutengeneza picha ya vitu navyotamani kuwa navyo au maisha.. Hali hii hata Mimi hunifariji sana
Back
Top Bottom