Recent content by maringeni

  1. maringeni

    Kwanini graduate wa kuanzia miaka ya 2005 kuludi nyuma wanaonekana kuwa na IQ kubwa?

    Unamfagilia nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. maringeni

    Pesa imekauka kwaresma

    Ni sawa ikauke. Si umefunga? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. maringeni

    Serikali (TAMISEMI) wafanyieni walimu Interview kabla ya kuwapost vituoni...

    Hesabu halafu kiingereza kiwe kigezo? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. maringeni

    Kenya ni habari nyingine, IGP mtarajiwa ahojiwa na kamati ya Bunge

    Hiyo si ajabu. Ni katiba yao Sent using Jamii Forums mobile app
  5. maringeni

    Ukimgusa Magufuli umenigusa mimi, sitakuacha salama. Magufuli ushindi tena 2020

    Unatafuta kujulikana. We endelea kuomba kazi kupitia mfumo rasmi. Huu haukufai. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. maringeni

    Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

    Nchi yako ila sio Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  7. maringeni

    Kwanini Msajili wa vyama hakifuti kwanza CCM?

    Kwa mpenda haki yeyote akiona yanayotendeka kuanzia bungeni, kwa msajili, polisi na baadhi ya viongozi wa serikali unajiuliza kama ipo haja tena ya kupiga kura. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. maringeni

    FANYA MWENYEWE: Jinsi ya kujua kama jiko lako la mionzi "microwave" linavuja au la

    Mionzi ni Ni microwave? Au radiation? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. maringeni

    Kubadllisha kioo cha iphone iliopasuka..

    Itafanya kazi vizuri ila kubadili kioo sio kama unavyofikiri au kuona wanavyobadili protector. Kioo cha smart kimeungana na vikorokoro kibao na gharama ni kubwa. Mfano nilipeleka s8plus kubadili kioo nikaambiwa laki 8 na ni kazi ya masaa 2 mpaka 3. Nenda kwa mafundi wataalam vinginevyo...
  10. maringeni

    Tanzania ina shida ya njaa kushinda Kenya..Its only the govt of Tz that lives in Denial...no given day have 200 people died of hunger in Kenya

    Hili jamaa ni pumbavu na kiingereza chake. Tz tuna njaa? Haya. Tuache tuone wapi wanakufa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. maringeni

    Nampongeza Rais Magufuli kwa kuwajali ndugu, jamaa na marafiki zake

    Nikisema nimeuelewa uzi huu ntakuwa mwongo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. maringeni

    Dagaa wa Bukoba kwa bei nafuu

    Hakuna dagaa wa bukoba ila wapo dagaa wa ziwa victoria. Avuliwe bukoba, ukerewe au mwanza wote ni hao hao. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. maringeni

    Kenya.kuna njaa sana, ila kuna kundi liko mitandaoni wakijifariji kuwa Kenya njaa hakuna

    Naiomba serikali yetu ya Tz ito msaada wa kama tani 500 au 1,000 za mahindi, maharage ili tuokoe maisha ya hawa jamaa. Ila kwa rushwa na ulafi ulioko huko sijui tani ngapi zitawafikia walengwa. Labda waturuhusu tugawe wenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. maringeni

    Botswana: Serikali kuanza kugawa chai na vitafunwa kwa Wanafunzi wa shule za Awali na Msingi

    Ni sawa tu. Unadhani wako wangapi? Usifananishe na kwetu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. maringeni

    Lipumba: CUF haitawavumilia wanachama wa ACT-Wazalendo wanaopora mali zake

    Mali nyingi za vyama vya upinzani ni mali za viongozi wakuu. Usidanyanyike. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom