Kwanini Msajili wa vyama hakifuti kwanza CCM?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,521
30,222
Watanzania tumestushwa sana na taarifa iliyotolewa na msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Mutungi, siku 2 zilizopita, kuwa amewapa siku 14 chama cha ACT wazalendo wajieleze ni kwanini asikifute chama hicho kwenye usajili wa kudumu kutokana na ukaguzi wa hesabu za chama hicho za mwaka 2013/2014 na kitendo kinachodaiwa kutendwa na wafuasi wake za kuchomwa kadi za CUF

Sasa ndiyo tutaanza kuelewa ni kwanini wadau mbalimbali hapa nchini waliipinga vikali sheria mpya ya vyama vya siasa nchini, kuwa inaenda mpa mamlaka makubwa ya kuingilia mambo ya kisiasa ya vyama, jambo ambao litasababisha avifutie usajili vyama "serious" vya upinzani kwa sababu zisizokuwa za msingi

Hata hivyo wabunge wa CCM hawakuelewa kilio cha mamilioni ya watanzania na badala yake wakaipitisha sheria hiyo kutokana na uwingi wao wa wabunge tena kwa kishindo!

Hayo yameanza kujitokeza kwa msajili huyo kuonyesha nia ya kutaka "kukinyonga" chama hicho cha ACT wazalendo kwa sababu zisizokuwa na mashiko!

Kama kweli yeye msajili yupo "fair" kama mlezi wa vyama kama anavyoitwa, basi akifute chama cha CCM kwanza, kutokana na vitendo vyake vingi inavyofanya ambavyo haviendani na mfumo wa uendeshaji wa vyama vingi

Hivi kama sababu zake zingekuwa na mashiko, tunashangaa ni kwa vipi msajili hiyo wa vyama vya siasa, hajaonyesha nia ya kukifutia usajili wa kudumu chama cha CCM ambacho mara kadhaa kimekuwa mstari wa mbele katika uchomaji wa kadi za vyama vya upinzani kwa wanachama wao wapya wanaojiunga na CCM??

Hivi ni kwa vipi chama cha CCM kimeamua kupora bila ridhaa ya wananchi mali zisizohamishika, mathalani viwanja vya kuchezea mpira na kuviita vya CCM wakati wakijua kuwa viwanja hivyo vilijengwa na wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa??

Hivi mtanzania gani ambaye hajui kuwa chama cha Sisiyemu, ndicho kinachoongoza kwa kupewa hati chafu kila unapofanyika ukaguzi na ofisi ya CAG??

Hivi ni kwanini chama cha ACT wazalendo kianze kufanyiwa visa baada tu ya Maalim Seif kuhamia chama hicho baada ya kukitosa chama alichokiasisi yeye mwenyewe cha CUF, baada ya mzozo wa muda mrefu na Profesa Lipumba, ulioasisiwa na msajili wa vyama kumtambua yeye Profesa Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa CUF wakati kila mtanzania anajua kuwa Profesa Lipumba aliandika mwenyewe barua za kujiuzulu uenyekiti wa CUF??

Hivi dhambi ya Maalim Seif ni kufuatwa na maelfu kwa maelfu na wafuasi wake kwenye chama alichohamia cha CUF??

Hivi ni mtanzania gani ambaye hajui kuwa msajili wa vyama vya siasa nchini alikuwa "akimbeba" Profesa Lipumba katika mgogoro uliochukuwa muda mrefu wa CUF, ambao hatimaye Maalim Seif akaamua "kumbwagia" chama cha CUF huyo Profesa Lipumba ili akiongoze??

Hivi kuna kosa gani alilolifanya Maalim Seif kwa kumwachia, Profesa Lipumba, chama alichokiasisi yeye mwenyewe cha CUF ili akiongoze??

Katika Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, ibara ya 3(1) inatamka wazi kuwa nchi yetu itakuwa ya kidemokrasia na ya vyama vingi.

Sasa ni kwanini nchi yetu inayoendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi zinatungwa sheria ambazo zinampa madaraka makubwa msajili wa vyama aweze kuamua hatma ya vyama vya siasa nchini??

Kama ambavyo Rais Magufuli alivyogusia suala la kutekwa kwa mfanyibiashara maarufu hapa nchini Mo hapo mwanzoni mwa mwezi huu kwa kusema kuwa watanzania siyo wajinga ambao hawajui namna sakata la Mo lilivyofanyiwa maigizo!

Vivyo hivyo nimwambie msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Mutungi, kuwa watanzania siyo wapumbavu na malofa wasielewe "mchezo mchafu" anaowachezea wapinzani "serious" wa nchi hii

Nimtahadharishe tu msajili wa vyama vya siasa kuwa ingawaje alivyotegemea kuwa kwa kufanya mbinu na michezo michafu za kuiua CUF basi angekuwa pia amemzika Maalim Seif kisiasa, haikuwa hivyo badala yake "amestukizwa" na Maalim Seif kuibuka upya, tena kwa ari mpya na kwa kasi mpya, akiwa na chama chake kipya cha ACT wazalendo, awe mpole na akubali kushindwa!

Kitendo chake cha kutaka kuifuta ACT wazalendo ni kitendo cha hatari kubwa kwa amani ya nchi hii na ambacho kitaweza kuleta machafuko makubwa hapa nchini na tusingependa yeye msajili wa vyama aiingie kwenye vitabu vya historia nchini kuwa ni yeye aliyeisababishia nchi hii iliyokuwa ikifahamika duniani kote kuwa ni kisiwa cha amani, yeye ndiye awe chanzo cha kuitokomeza amani hiyo hapa nchini!

Mungu ibariki Tanzania
 
Maelfu kwa maelfu yapi?
Acha kutufanya watanzania mabwege kama wewe ulivyo bwege!
Unaamka asybuhi badala ya kujiandaa kwenda kazini unaanzisha thread za vilio ?
Siasa sio kila kitu...tafuta kazi rasmi ya kipato kwa manufaa ya future yako ila kama hii ndio ajira yako that's ok.
Endeleza kilio mpaka 2025 na labda mpaka uzeeke kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana tuna dola na sio dollar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mpenda haki yeyote akiona yanayotendeka kuanzia bungeni, kwa msajili, polisi na baadhi ya viongozi wa serikali unajiuliza kama ipo haja tena ya kupiga kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi kufika 2020, tutabaki na chama cha CCM na vyama vyenzake washirika vya CUF ya Lipumba na TLP ya Augustine Lyatonga Mrema
 
Maelfu kwa maelfu yapi?
Acha kutufanya watanzania mabwege kama wewe ulivyo bwege!
Unaamka asybuhi badala ya kujiandaa kwenda kazini unaanzisha thread za vilio ?
Siasa sio kila kitu...tafuta kazi rasmi ya kipato kwa manufaa ya future yako ila kama hii ndio ajira yako that's ok.
Endeleza kilio mpaka 2025 na labda mpaka uzeeke kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijibishani na wewe unayefadhiliwa kwa kula na kulala kwa shemeji............

Huwezi ukajua kuwa kilio ninachotoa Mimi ndiyo cha Umma wa watanzania
 
Jaji mutungi ambaye sasa ni mpambe wa Lipumba wakishirikiana kuiba kukwapua Ruzuku ya CUF amejitoa fahamu zote kama mtu aliyevuta Bangi lakini wamesahau kuwa wakiifuta ACT vurugu zikianza zitaanzia kwake familia yake, Lipumba, Sakaya, kambaya na wenzake wotr waliomsaidia kukifanyia unyama ACT, wananchi wamechoka na ujinga wa Lipumba na huyo msajili sasa wanawasubiria wafanye huo ujinga ili watoe somo iwe fundisho kwa wengine huko mbeleni.
 
Hatuelewi mpaka tuone damu inatoka masikioni.

Sent using Boeing 737-MAX 8

ACT ikifutwa Lipumba atafute pa kwenda kuishi vinginevyo ataishi kambini Lugalo au ikulu mle ndani maana huko mitaani watamwandama kama nyuki ingawa hujivunia uchawi mkubwa aliokwenda kuuchukua kwao Congo, nawakumbusha kwa wale wasiomjua vizuri Lipumba siyo Mtanzania bali ni mkongomani kiasilia alikuja Tanzania akiwa mdogo ndipo akajipachika uraia kienyeji.
 
Uchawi hautamlinda na hasira za wananchi

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
Maelfu kwa maelfu yapi?
Acha kutufanya watanzania mabwege kama wewe ulivyo bwege!
Unaamka asybuhi badala ya kujiandaa kwenda kazini unaanzisha thread za vilio ?
Siasa sio kila kitu...tafuta kazi rasmi ya kipato kwa manufaa ya future yako ila kama hii ndio ajira yako that's ok.
Endeleza kilio mpaka 2025 na labda mpaka uzeeke kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe mwenyewe ni bwege hajielewi unawezaje kuwasemea watanzania? Siasa siyo kila kitu mbona Lipumba ameng’ang’ania Siasa? Mtizame Lipumba kwanza kabla ya chochote na kwenda kuvuta Bangi, kazi ipi atafute? Mbona Le mutuz na cyprian Musiba kazi zao ni propanganda tu lakini nyie CCM bila aibu mnachukua pesa Hazina pesa za walipa kodi mnawalipa?
 
Mleta mada ufahamu ccm sio chama cha siasa ndio maana unaona msajili hawezi kukifuta. Ccm ni kikundi cha kigaidi chenye mafungamano na vyombo vya dola kwa backup ya cheo cha rais. Msajili mwenyewe ni muajiriwa wa hiyo ccm, sasa atakataje tawi alilokalia?
 
Hadi kufika 2020, tutabaki na chama cha CCM na vyama vyenzake washirika vya CUF ya Lipumba na TLP ya Augustine Lyatonga Mrema

Ni vigumu kivifuta chadema na ACT maana tayari vipo mioyoni mwa watu na endapo jaji mutungi atavuta Bangi akajitoa fahamu kuvifuta lazima atafute Nchi ya kwenda kuishi au vinginevyo atafutiwe nyumba ndani ya kambi ya jwtz
 
Mleta mada ufahamu ccm sio chama cha siasa ndio maana unaona msajili hawezi kukifuta. Ccm ni kikundi cha kigaidi chenye mafungamano na vyombo vya dola kwa backup ya cheo cha rais. Msajili mwenyewe ni muajiriwa wa hiyo ccm, sasa atakataje tawi alilokalia?

Msajili wa vyama pia ni mpambe wa Lipumba wanaiba na kuipora ruzuku ya CUF pamoja kwa sasa ndiye msajili fisadi mkubwa Duniani
 
Back
Top Bottom