pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,091
Wanazengo pesa imeyeyuka? Najiuliza funga hii mbona imekua ya kimya sana zile shamra shamra za wasanii, na makampuni mbalimbali nchini za kufuturisha na kutoa vyakula sehemu mbali mbali, za vituo vya yatima na wagonjwa na wasiojiweza mbona mfungo huu wa kwaresma umekua kimya sana wako wapi mabigwa wa kufuturisha hakika mifuko imechanika [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app