Mkuu take care utakuja kujikuta upo mikononi mwa ADF NARU kwa iyo kuwa makini sana huwa wanatumia sana kutafuta wataalamu kwa kuwadanganyia nafasi km hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa sipo mjini mkuu ,vipi nikiiweka kwa muda wa miezi mitatu itakuja waka maana nategemea kuja mjini mwezi wa sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa naomba msaada simu yangu imeingia maji,hii ni mara ya pili mara ya kwanza iliingia maji ya bahari nikaiweka kwenye mchele usiku kucha asubuhi ikawaka safi. Sasa jana tena imeingia maji ya kawaida nimeweka kwenye mchele lakini kumekucha nimejaribu kuiwasha imekataa kuwaka,naomba msaada...
Ukiwa bar au club simu yako ikiitwa unaenda kaunta au kwa dj mziki unazimwa unaongea na simu yako ukimaliza wanaendelea kupiga mziki
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.