Black Friday 29/11/2019 sale on Amazon

rodrigaz

Senior Member
Jan 4, 2015
183
176
Habarini ndugu wana jamvi, poleni na shughuli za kila siku. Leo nawakaribisha tujadili au kukumbushana kuhusu Black Friday sale ya mwaka huu.

Black Friday inakaribia kwa kasi, kwa wale wajuzi wa mambo tuelimishane jinsi ya kununua kwenye Amazon kwani kuna hati punguzo nyingi sana.

Binafsi napata tabu sana pale napojaza adress ya nyumbani na kuambiwa haiwezi kutumwa huku. Msaada tafadhalini jinsi ya kujaza fomu hizo.

Karibuni.
 
Mkuu, nikitumia adress ya USA ntavipata vipi hivo vitu? Huku vitafikaje?
Cheki MyUS.com

Soma FAQ yao watakuelezea kila kitu

Nimeshatumia huduma yao mara nne kusafirisha vitu kutoka marekani kuja Tanzania. Always opt for DHL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom