Jk alimsaliti Sitta, anasema anataka spika mwanamke. Lakin ukimsikiliza sasahivi anajifanya kuelezea kuwa kipindi cha 1995 Sitta ndo alikuwa kiongozi wao🤔.
Kwahiyo Kwa Lowasa lazima alaumiwe. Na nadhan ndo ilikuwa wosia wa Edo. Na familia imeweza kufikisha ujumbe
Jamii ili ilimkubali Sana lowassa. Na jamii ilitaka awe Rais wa JMT. Na jamii ilimpa Kura za kutosha kuwa Raisi.
Huyo Kikwete ndo alikataa Edo asiwe Rais. Na ni yeye na kundi la vijana wake ndio waliounda kikosi cha kumtukana na kumwobia Kura.
Lowasa kilichomsikitisha Sana ni kuondolewa...
Kwahiyo wakati wa interview wanatakiwa kuuliza na kabila la MTU ili wabalance na makabila kazini sio?
Au hao wachagga ni wakenya hivyo hawastahili KUPATA Ajira?
Very cheap reasoning you are demonstrating here my friend!
Maoni huru.
Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla.
Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati kabisa kwamba mihimili wa Bunge haulisaidii taifa, na pengine tungeendelea zaidi Kwa kutokuwa na kundi...
Kwahiyo wametumia kisingizio Cha vita kutupiga/kutunyonya?
Nilisikia kipindi imeshushwa 100Tshs walipata hasara ya 30B. Sasa wameongeza 800Tshs Kwa mwezi wote wa may watapata zaidi ya 300B.
Halafu wanatoa 100B ya ruzuku😂😂
Wa
Kijaribu kuwekeza baadhi ya wanaCcm dhalimu wanawaharibia. Hukusikia kuhusu mashamba na matrekta huko Morogoro Hadi kuuwawa Kwa diwani wa eneo Hilo ambaye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya Chama??
That's the point. Kwa miaka yangu hii, katika wizara hiyo, mtu peke aliyeimudu mpaka Sasa ni Kalemani. Sema wamemwondoa Kwa ajenda zao.
Kipara yupo pale kulinda maslahi ya wenyewe
Yule anaweza kuiba kura tu. Sio mtendaji na hasa Kwa wizara nyeti Kama ya nishati. Na pengine ni wale wahuni mwendazake aliowasema wanafungulia maji ili kuuza majenereta na kupata pesa za kampeni 2025.
Haiwezekani umeme usikatike hovyo Kwa miaka mitano mfulukizo alafu ghafla unaanza kukatika...
Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi!
Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.