Search results

  1. M

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Sio kweli. Radio Maria wanataka Ramadhan. Pia Ile ni redio ya dini na si ya biashara, kama zilivyo Upendo, Imaan na zingine
  2. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Jk alimsaliti Sitta, anasema anataka spika mwanamke. Lakin ukimsikiliza sasahivi anajifanya kuelezea kuwa kipindi cha 1995 Sitta ndo alikuwa kiongozi wao🤔. Kwahiyo Kwa Lowasa lazima alaumiwe. Na nadhan ndo ilikuwa wosia wa Edo. Na familia imeweza kufikisha ujumbe
  3. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Jamii ili ilimkubali Sana lowassa. Na jamii ilitaka awe Rais wa JMT. Na jamii ilimpa Kura za kutosha kuwa Raisi. Huyo Kikwete ndo alikataa Edo asiwe Rais. Na ni yeye na kundi la vijana wake ndio waliounda kikosi cha kumtukana na kumwobia Kura. Lowasa kilichomsikitisha Sana ni kuondolewa...
  4. M

    Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

    Kwahiyo wakati wa interview wanatakiwa kuuliza na kabila la MTU ili wabalance na makabila kazini sio? Au hao wachagga ni wakenya hivyo hawastahili KUPATA Ajira? Very cheap reasoning you are demonstrating here my friend!
  5. M

    Ni muda sasa wa kuwa na Mihimili miwili ya Serikali

    Maoni huru. Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla. Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati kabisa kwamba mihimili wa Bunge haulisaidii taifa, na pengine tungeendelea zaidi Kwa kutokuwa na kundi...
  6. M

    Ukokotoaji wa bei za mafuta yanayopokelewa bandari ya Dar es Salaam (mfano petrol/lita)

    Kwahiyo wametumia kisingizio Cha vita kutupiga/kutunyonya? Nilisikia kipindi imeshushwa 100Tshs walipata hasara ya 30B. Sasa wameongeza 800Tshs Kwa mwezi wote wa may watapata zaidi ya 300B. Halafu wanatoa 100B ya ruzuku😂😂
  7. M

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Maigizo tu haya. Kwann wasingejadili kabla ya kupandisha? Au ndo Create a problem, then solve it to be seen as if you are working 🤗
  8. M

    Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Lile la Royal Toure nn mkuu. Kila nikikutana nalo kwenye picha au clip najipiga kibao Kwa hasira
  9. M

    Join The Chain yaingia Kata ya Wazo, Mbowe akutana na Wanaccm awasalimia

    Wa Kijaribu kuwekeza baadhi ya wanaCcm dhalimu wanawaharibia. Hukusikia kuhusu mashamba na matrekta huko Morogoro Hadi kuuwawa Kwa diwani wa eneo Hilo ambaye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya Chama??
  10. M

    Waziri Makamba kwa kujua au kutokujua analihujumu taifa letu

    That's the point. Kwa miaka yangu hii, katika wizara hiyo, mtu peke aliyeimudu mpaka Sasa ni Kalemani. Sema wamemwondoa Kwa ajenda zao. Kipara yupo pale kulinda maslahi ya wenyewe
  11. M

    Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    Yule anaweza kuiba kura tu. Sio mtendaji na hasa Kwa wizara nyeti Kama ya nishati. Na pengine ni wale wahuni mwendazake aliowasema wanafungulia maji ili kuuza majenereta na kupata pesa za kampeni 2025. Haiwezekani umeme usikatike hovyo Kwa miaka mitano mfulukizo alafu ghafla unaanza kukatika...
  12. M

    Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  13. M

    Washindi wa michongo pesa

    Habari za muda huu wanajamvi Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi. Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho. Sasa najiuliza, mbona...
  14. M

    Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

    Zanzibar port to Dar port 70kms
  15. M

    Unyanyasaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari za muda huu ndugu zangu. Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia. Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
  16. M

    Haya Mamlaka ya Bunge kuita watu kuwahoji na kutoa maonyo inayatoa wapi?

    Wameshindwa kujadiliana kwa hoja, Sasa wanaanza kupambana na maneno ya mitaani. Yaan wanashindwa kazi zao za msingi za kuisimamia serikali na kutunga Sheria wanaanza kunyamazisha watu mtaani. Alikuwa wapi Magufuli akikopa trilioni 50?? Ndo wanahoji sasahv akiwa amefariki! Nchi inamatatizo...
Back
Top Bottom