Ubunge imekuwa kazi rahisi Sana hususani ukiwatazama watu kama Kibajaji,Msukuma,Mlinga,Lugola,Kessy Etc Kama role model wako kwenye Siasa But ukiwatazama Watu Kama marehemu Filikunjombe, Hussen Bashe, Tundu Antipas Lissu, Zitto Kabwe, Kafulila huwezi tamani kuwa mbunge maana Ni welevu...