Hivi nikitaka kukaa national housing nifanye nini

Marco Mhagama

Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
30
Reaction score
15
Samahani Wana jf nimekua nikihangaika kupata nafasi ya kuishi kwenye national house kama mtanzania wa kuoanga nyumba hizi ila sipati kila nikienda nakuta tuu wahindi wamejaa hapa Dodoma juzi tuu nyumba zimejengwa nimezikosa sasa nifanyeje ili niweze Pata jumba la kuishi la national house au wahindi Wana wakala wao ambae anawapa hizi offer??? Na kama kuna wakala naomba ajitokeze hapa dodoma anifanyie mpango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana wahindi walishalipia kodi ya miaka 30 mbele still wanampango wa ku renew mkataba.

Lakini nasikia NHC wanajenga nyumba za bei nafuu kwa ajili ya watu wa kipato cha chini, mil.200 tu ulitanguliza hata nusu mil.100 unapata.
 
100Mil kipato cha chini ?! [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana wahindi walishalipia kodi ya miaka 30 mbele still wanampango wa ku renew mkataba.

Lakini nasikia NHC wanajenga nyumba za bei nafuu kwa ajili ya watu wa kipato cha chini, mil.200 tu ulitanguliza hata nusu mil.100 unapata.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] upo serious kwa kusema hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom