Kwa walimu waliopo kazini na kwa mtu yeyote atakayeguswa

Huo utapeli halafu unataka kuwatapeli wamepitia vyuoni wanataarifa zote kuhusu gharama na namna vyuo vinavoendesahwa so pole sana katapeli kwingine. Eti ada million 12 mie nimeona uchumi hata million 7haikufika


mwaka wa kwanza kwa chuo cha kawaida course ya ualimu unaweza kutumia 3milions jumla na ada.....inaonekana wewe umesoma KLF hujui hesabu..... apo multiply by 3 then add field expenses...... 9m to 12m is an estimation....usipoelewa na apa wewe ni jipu.
 
Huo utapeli halafu unataka kuwatapeli wamepitia vyuoni wanataarifa zote kuhusu gharama na namna vyuo vinavoendesahwa so pole sana katapeli kwingine. Eti ada million 12 mie nimeona uchumi hata million 7haikufika


mwaka wa kwanza kwa chuo cha kawaida course ya ualimu unaweza kutumia 3milions jumla na ada.....inaonekana wewe umesoma KLF hujui hesabu..... apo multiply by 3 then add field expenses...... 9m to 12m is an estimation....usipoelewa na apa wewe ni jipu.
 
Acha uongo udsm haukwepo kozi ya ualimu wa hisabati na geography jipange upya kama ungesema mwaka huu nngekulewa ila miaka ile haipo hyo kozi



chukua kitabu cha TCU mwaka 2012 kama hautaona iyo course uje utoe comment hapa....inaonekana umelewa madesa
 
4sure sodoka, majibu yako yanadiscourage sana, sasa wote tukimeet na wewe tuone vyeti mbona itakuwa ngumu, anyway maybe unaweza pata msaada


majibu yangu unapoyatazama usisahau na kutazama majibu yenu pia......mnaponibishia ili hali nina tatizo mnajifanya mnajua. sana kuchambua...... mtabishajee sasa.... I don't have loan and sio mimi tu....watu wanakosa loan engineering.... medicine etc......angalieni au someni condition ya mtu aliyesomeshwa na any organization outside the country kwenye form za HESLB.... sio mnatoa povu hapa......!!
 
Mkuu,we always move from simple to complex,mimi nimemaliza form six mwaka 2011,nilipata chuo kikuu nafasi,ila mkopo ilikuwa mdogo hivyo nilishindwa kwenda jumlisha na umasikini nyumbani,mwaka 2012,Nikaomba diploma ya ualimu ada sh 200,000/ kwa mwaka kula na kulala bure,mwaka 2014 nikahitimu sa niko kazini nategemea kuanza kusoma open university kwa pesa yangu.Jifunze kitu hapa
Mimi naona huyu anasema ukweli maana wapo watu kibao wenye sifa na wanakosa mikopo halafu una mwita tapeli kivipi wewe usimpe hela nenda Chuo toa ada yote nenda cafeteria mlipie msosi mwaka mzima mbona kawambueni kuwa msimpe hela acheni majungu hamna misaada mnambana tu kijana wawatu kachoka kila unapo mueleza anakujibu halafu kuharibikiwa ni single second kiuchumi especially ukifiwa wa zazi duuu
Basi pambana,zichange Mungu atakuongoza kufika upatakapo cha msingi malengo yako kuyatilia mkazo.

Hana shida huyu...anatafuta wavivu kufikiri ili awachune hela.

Mwalimu wa Mathe hawezi kuja kuomba omba mtandaoni...never! Soko lao liko juu na sponsorship kibao....

#wajingandiowaliwao#

Kama wewe ni Mwalimu na shuleni kwako dawati likavunjika utalazika kukatwa mshahara wako binafsi ili kufidia uharibifu huo...

View attachment 365852
 
Duh Unaasila Mno Ndugu Alafu Una Ndoto Za Kuteach Math Mh Mbona Atoeleweka Utakuwa Unasababsha Somo Lichukiwe Zaid Mana Ili Somo Aliitaj Asila Ndugu
 
Duh Unaasila Mno Ndugu Alafu Una Ndoto Za Kuteach Math Mh Mbona Atoeleweka Utakuwa Unasababsha Somo Lichukiwe Zaid Mana Ili Somo Aliitaj Asila Ndugu
sina hasira kama unavyofikiria........nawatumbua wanaosema naigiza ....wanasema Mie tapeli... nitakuwaje mwizi naomba msaada wa kusomeshwa.... wewe kama upo tayari lipa ada chuoni ..lipa kila kitu hadi msosi Mie nikapige shule tu ,,,,

WARNING.....

UKINIITA TAPELI NAKUTUMBUA.
 
Udsm walianzisha mfumo huo kutofanya mtihani. ipo hiyo. ilianza 2013/2014
Wewe sio mkweli Udsm uwa hawafukuzi mwanafunzi kwa kutolipa ada uwa wanamvumilia mpaka wakati wa kumaliza wanazuia cheti au transcript yake.

Na kwa marks zako masomo ya science uwezi kukosa mkopo ata iweje. Duce wanakufukuza vipi kwa ajili ya ada ilihali walimu wote uwa wanapata mikopo?
Chuo gani kozi ya ualimu inalipa million 4 kwa mwaka?

Kuwa mkweli usaidiwe, ama sivyo utaonekana tapeli.
 
Back
Top Bottom