Recent content by Marco Joel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kupungua Mizigo Bandarini: Je, Kuna Uwezekano Waziri Mkuu amelidanganya Bunge?, Kadanganywa Au ?!.

    Binafsi mimi mwenyewe nipo njia panda maana ile kamati ya bunge ilisema moja ya sababu kubwa ni kupandishwa kwa kodi lakin waziri naye amekuja na sababu zake hizo ambazo ni za kitaalamu hivyo ngoja tuendelee kuangalia tuone mwisho wake.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnaleta UCCM na UCHADEMA Kwenye "National Team" Tushafungwa 3-0

    Tatizo wanasiasa watz wametanguliza masilahi ya chama mbele utaifa baadae.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sirudii tena ndio mwanzo na mwisho!

    ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwanini Dodoma/Chato Airport na sio watoto wa masikini hawa?

    watz tuwe na subira tumwachie mh muda angalau hata miaka miwili mitatu tuone hatatufikisha wap.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

    Daah cool james umenikumbusha mbali sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

    kilichomgharimu kagasheki ni kujenga makundi ndani ya chama ambayo yalikuja kumharibia wakati wa uchaguzi mfano kati yake na Dk.Amani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Donald Trump is going to win this election

    Tafiti za wenzetu ni tafiti makini hivyo tusishangae Mr.Trump akashinda urais.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    suala la jecha kupewa tuzo nahuku analalamikiwa na wazanzibar wengi ni sawa na kuwatukana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Hatumuelewi Rais Dkt. Magufuli

    kauli zake kimsingi zimekuwa zikileta tafsiri tofauti hivyo kuleta mitazamo tofauti miongoni mwa makundi ya watu ndani ya jamii,sijajua aina ya siasa ambazo anataka twende nazo lakini kama ndio hizo za vitisho na kufanya maamuzi bila kufanya tafakari ya kina kwa aina ya kizazi cha kuoji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    waingereza wanasema medium affect the message,hivyo basi binafsi sikuona kama ni vizuri kwa kiongozi wa nchi kutumia kauli kama hizo tena kwenye mkutano wa hadhara wakati akijua wazi kuwa kuna mkwamo wa kisiasa visiwani huko,rais angeweza kutoa kauli ambazo zingeleta walau suluhisho la mkwamo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali za CCM na kuwadharau walimu

    Serikali kuwakandamiza walimu inakandamiza elimu yetu na uchumi wetu kwa ujumla,uwezi inua uchumi kama elimu ya nchi inasuasua na ukizungumzia elimu unazungumzia wawezeshaji ambao ni walimu,serikali isipolipatia ufumbuzi suala ili tutaendelea kuwa chini kiuchumi tukizidiwa na nchi nyingine ndogo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Oktoba 01 ni siku ya kupanda miti

    viongozi wa serikali wasipokuwa makini na kutumia muda mwingi kupambana na vyama vya upinzani hadi kufikia mwaka 2020pengine kutakua hakuna mabadiliko makubwa kwenye hali za kimaisha za watz weng.My take viongozi wa serikali waache kutafuta kiki za kupambana na wapinzani bali waelekeze nguvu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Nitafurahi sana endapo ziara yake huko pemba itatoa suluhu ya mkwamo wa kisiasa kati ya cuf na ccm visiwani huko.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CHADEMA kuhusu hatua za NHC na rasilimali za Mwenyekiti Mbowe

    Hilo suala lisipo tolewa ufafanuzi wa kina kwa wananchi linaweza likaleta utata ndani ya jamii kwasababu mwenyekiti ndiye anatakiwa kubeba taswira ya chama.
Back
Top Bottom