Inawezekana Hatumuelewi Rais Dkt. Magufuli

Yeye afuate katiba tu! Porojo nyingi za nini?

Sisi tunaielewa katiba ya Tanzania(Pamoja na ubovu wake), hatuhitaji kumuelewa yeye.
 
Kama anavunja katiba mpeleke mahakamani..porojo za nini?
 
Anatoa hotuba tata ili kuahamisha mijadala inayohusu makosa na mapungufu ya serikali yake ikiwemo kushindwa kuajiri,n.k.

Hata hivyo, ukificha moto,moshi utakuumbua tu.
Suala la ajira kuchelewa nadhani lilitolewa ufafanuzi..Labda kama sikuelewa au hatutaki kuelewa!
 
Nnachompendea rais wangu mtukufu ni hana UNAFIKI,
Yuko straight. njano ni njano, nyeusi ni nyeusi.
Harembi,
Sa mliozoea kupetiwa kazi kwenu
 
kauli zake kimsingi zimekuwa zikileta tafsiri tofauti hivyo kuleta mitazamo tofauti miongoni mwa makundi ya watu ndani ya jamii,sijajua aina ya siasa ambazo anataka twende nazo lakini kama ndio hizo za vitisho na kufanya maamuzi bila kufanya tafakari ya kina kwa aina ya kizazi cha kuoji kilichopo sahivi basi asipo soma alama za nyakati pengine anaweza tawala kwa
tabu.
 
Yeye afuate katiba tu! Porojo nyingi za nini?

Sisi tunaielewa katiba ya Tanzania(Pamoja na ubovu wake), hatuhitaji kumuelewa yeye.
Katiba mbovu aifuate ya nini? Mlisema siyo ya wananchi jpm anatembelea maneno ya upinzani
 
Mm nasubir lile jengo la tanesco ubungo libomolewe si alipokua wazir alitaka kulibomoa mfalme aliyepita akaingilia kati sasa yy ndo mfalme sasa
 
Amani iwe kwenu!

Nimejaribu kutafakari kidogo juu ya kauli kadhaa za rais wetu akiwa katika baadhi ya ziara na kubaini kitu..
1. Inawezekana kauli tata za mh. ni za makusudi na zinalengo la kubadili sura nzima ya siasa tulizozoea..Hii nikiwa na maana kwamba wakati tukiwa bize kujadili kauli tata hizo teyari yeye anapata mwanya wa kufanya mambo ya msingi ambayo anatarajia kuyafanya!Ni kama unaweka nyama na wakati huo huo unampigia mluzi mbwa..lazima aweweseke!

2.Kauli zake nyingi pia zina vichekesho na mikwara mingi..Hii mikwara inaweza kuwa na lengo la kuwaweka sawa watendaji au watu waovu!Kwa jinsi navyoona haya yote anayafanya makusudi kwa kuamini kwamba meseji zinafika na watu wanamsikiliza neno kwa neno!

3.Kwa kuzingatia kuwa watanzania na wanasiasa ni watu wa porojo na propaganda basi naona anacheza kama pele kwenye hili na wanasiasa wengi hawajamstukia!Vyama vya upinzania visipokuwa makini vitabaki kujadili hotuba zake badala ya kujikita kwenye main agenda za vyama vyao..

4.Pia muheshimiwa kuna wakati kwenye hotuba mambo ya sirini huyaweka wazi wazi..Nahisi anafanya makusudi kuwa hata wale wanaofanya maovu na kusitiriwa kisiasa basi kuna siku watawekwa hadharani..amefanya watu wa deal na wala rushwa kubwa kuwa waangalifu maana kuna siku wanaweza kusemwa hadharani..Miaka ya nyuma hatukuzoea hii na tunaona kama wanadhalilishwa..

5.Tukumbuke rais wetu ni msomi wa Phd na si bure lazima huwa anajitafakari baada ya hotuba zake lakini pamoja na hilo bado wimbi la kauli tata linaendelea na bila shaka ni makusudi kwa lengo maalum kwa kuzingatia aina za siasa tulizozoea..Yaani huwa anapiga pale pale tunapoona amekosea au atakosea na mbaya zaidi huwa haachi kurudia pale anapoona watu wamekwazika!

Kitu ninachokiona ni kuwa rais anataka kututoa kwenye aina za siasa tulizozoea,yaani analeta a new era of politics!Wito wangu kwa viongozi wa upinzani na wanaharakati kama kweli mnataka kuisaidia hii nchi mjikite kwenye ajenda zenu na si hotuba zake kwa vipande hasa vyenye utata!Atawapoteza na wakati huo huo yeye anaendelea kuchanja mbuga kisiasa na kwenye ajenda zake..In short I can call him as a game changer and a smart president..
You're dead wrong.
 
Kwa kuongezea......

Mh. Rais aneonyesha ni jinsi gani tulienda mbali katika kuvunja sheria na kuishi kwa mazoea mabaya ya kujipa haki zetu zaidi ya watanzania walio wengi...nchi ilipokuwa imefika ni kuwa mazoea yale tuliyatengenezea mifumo rasmi ambayo mengine hata kama inavunja haki za wengine lakini, kwakua tulizoea kuishi hivyo hatukujali. Basi, nyakati hizi anapobomoa mazoea hayo ndipo tunaona kama vile anavunja sheria. Sheria ambayo ss wenyewe tuli rasimisha mazoea na kuziishi kama vile ndiyo sheria hata kama yanamkandamiza mtanzania mwingine asiye na stake katika elite group...

Mfano; ni kipi kinatupa uhalali wa sisi elites kupata huduma bora maeneo tunayoishi kama shule zenye waalimu wa kutosha, hospitali zenye madaktari na dawa, mahakama yenye mahakimu huku watanzania wenzetu zaidi 60% wakiwa hawana hizo huduma? Je ni katiba/sheria ipi hiyo inayotupa sisi haki hiyo dhidi ya hao walio wengi?

Utaona ufisadi na siasa isiyo na misingi ya utawala bora ndiyo chanzo cha yote haya na pale Rais anapoingilia kati kwakuvunja mitandao ya kifisadi iliyojishikamanisha na utendaji wa serikali pamoja na siasa tunaona yeye anavunja sheria au anakuwa autocratic...Ni jambo la wazi kabisa katika hali kama hii Mh. Rais lazima atumie nguvu zake za kidola na kauli zake ziambatane na matendo yake huku akifanya mutual adjustment.

Ila si kosa pia pale ambapo wale ambao wana moral authority wakamsaidia Mh. Rais kupunguza extrimity. Kinachoshangaza ni hata wale ambao walitufikisha hapa tulipo (wenye makandokando mengi na wengine ambao hata wameshindwa kuiishi hiyo democracy wanayoihubiri, wamefukuza wenzao walipowapinga, wamebadilisha maamuzi ya wengi kwa faida yao binafsi, n.k) ndiyo wapo mstari wa mbele kumkwamisha Rais. Hii haikubaliki na hatutanyamaza mtu apende au achukie na tunao uwezo wakuwadhibiti kiroho na kimwili hilo wala halina shaka.

Social capital inajengwa na haiwezekani mpaka pale kuwe na penalties zitakazo lazimisha tabia hiyo kujijenga...ndicho anachofanya Mh.Rais...tumpe nafasi na tumsupport badala ya kumkwamisha. Pale atakapo enda nje ya mstari basi tumshauri bila kum insurbodinate...
 
Amani iwe kwenu!

Nimejaribu kutafakari kidogo juu ya kauli kadhaa za rais wetu akiwa katika baadhi ya ziara na kubaini kitu..
1. Inawezekana kauli tata za mh. ni za makusudi na zinalengo la kubadili sura nzima ya siasa tulizozoea..Hii nikiwa na maana kwamba wakati tukiwa bize kujadili kauli tata hizo teyari yeye anapata mwanya wa kufanya mambo ya msingi ambayo anatarajia kuyafanya!Ni kama unaweka nyama na wakati huo huo unampigia mluzi mbwa..lazima aweweseke!

2.Kauli zake nyingi pia zina vichekesho na mikwara mingi..Hii mikwara inaweza kuwa na lengo la kuwaweka sawa watendaji au watu waovu!Kwa jinsi navyoona haya yote anayafanya makusudi kwa kuamini kwamba meseji zinafika na watu wanamsikiliza neno kwa neno!

3.Kwa kuzingatia kuwa watanzania na wanasiasa ni watu wa porojo na propaganda basi naona anacheza kama pele kwenye hili na wanasiasa wengi hawajamstukia!Vyama vya upinzania visipokuwa makini vitabaki kujadili hotuba zake badala ya kujikita kwenye main agenda za vyama vyao..

4.Pia muheshimiwa kuna wakati kwenye hotuba mambo ya sirini huyaweka wazi wazi..Nahisi anafanya makusudi kuwa hata wale wanaofanya maovu na kusitiriwa kisiasa basi kuna siku watawekwa hadharani..amefanya watu wa deal na wala rushwa kubwa kuwa waangalifu maana kuna siku wanaweza kusemwa hadharani..Miaka ya nyuma hatukuzoea hii na tunaona kama wanadhalilishwa..

5.Tukumbuke rais wetu ni msomi wa Phd na si bure lazima huwa anajitafakari baada ya hotuba zake lakini pamoja na hilo bado wimbi la kauli tata linaendelea na bila shaka ni makusudi kwa lengo maalum kwa kuzingatia aina za siasa tulizozoea..Yaani huwa anapiga pale pale tunapoona amekosea au atakosea na mbaya zaidi huwa haachi kurudia pale anapoona watu wamekwazika!

Kitu ninachokiona ni kuwa rais anataka kututoa kwenye aina za siasa tulizozoea,yaani analeta a new era of politics!Wito wangu kwa viongozi wa upinzani na wanaharakati kama kweli mnataka kuisaidia hii nchi mjikite kwenye ajenda zenu na si hotuba zake kwa vipande hasa vyenye utata!Atawapoteza na wakati huo huo yeye anaendelea kuchanja mbuga kisiasa na kwenye ajenda zake..In short I can call him as a game changer and a smart president..
Nonsense
 
Hayaah! Umetoa siri! We ungewaacha tu!
 
Zitto kabwe ameshashtukia mchezo..ndio maana katulia kiasi na hata kama ni kumpinga ni kwa nadra sana..muda mwingi amejikita jimboni na madiwani wake!

Maturity ni pamoja na kujua ufanye nini wapi na wakati gani.
 
Back
Top Bottom