Recent content by marauyo

  1. M

    Ugonjwa wa kuhara damu (Coccidiosis) kwa kuku

    Tunashukuru kwa dondoo za ugonjwa kama ulivozitoa. Ila nakushauri unapokua unaandika mada sensitive na ya kisayansi kama hii uwe na uhakika na unacholeta kwa jamii. Nasikitika ushauri wako wa kuchanganya dawa sio sahihi,,rudi tena darasani na usome pharmacology yako vizur. Tiba za wanyama pia...
  2. M

    Natafuta kiwanda cha mifuko ya plastick ya mahindi

    Hill Packaging Co. Ltd Mifuko yao ina ubora wa hali ya juu Na utapata yenye ubora kulingana na mahitaji yako. Wako Mapinga Bagamoyo road jiran kabisa na Bunju Dar es salaam 0658444627
  3. M

    Msaada: Vifaranga wangu wanaharisha kinyesi kilichochanganyika na damu

    Amprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.
  4. M

    Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

    Kerege kwa kiwete, 200m kutoka bagamoyo road,25*35 Umeme na maji vipo, ml 10
  5. M

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Salaam wana jamii forums,, naomba msaada wenu kwa yeyote anayefaham wapi naweza kupata msaada wa kuandikiwa/uandishi wa business plan anijulishe. Napatikana Dar es salaam. Natoa shukrani.
  6. M

    Daktari wa Nguruwe anahitajika

    Hill Veterinary Center Phone: 0658444624
  7. M

    Daktari wa Nguruwe anahitajika

    Fika Hill Veterinary centre, iko barabara ya bagamoyo,boko kwa mpemba matabibu wao wanahuduma nzuri pamoja na vyakula bora vya nguruwe.
  8. M

    Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

    Mim pia niliomba T.A na sijapigiwa sim, wewe uliomba collage gan na ulipigiwa simu lini??
  9. M

    Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Mimi huwa nafanya ivo ivo nkishaona iyo mambo ya EL naondoka,,, nkikosa saa mbil silali hadi nione saa tano itv
  10. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Kwa ushauri wa jinsi gani ya kuwalisha nguruwe wako chakula bora na kupata faida kuanzia creep feed hadi pig finisher naomba tuwasiliane, 0658444624
  11. M

    Pikipiki used ya haraka inahitajika

    Ipo boxer BM 150 , Imetembea km 3800, mil 1.7
  12. M

    Msaada wa mawazo ya ununuzi wa gari

    Namaanisha Toyota ISIS sio IST
  13. M

    Msaada wa mawazo ya ununuzi wa gari

    Napenda kutoa salaam zangu za dhati kwa wanajamii forums wote. Pili naomba msaada wenu wa mawazo nahitaji kununua gari lakini hadi sasa hivi sijapata ufafanuzi wa kina kuhusu hili gari ninalotaka kununua. Toyota ISIS na NISSAN WINGROAD, ni aina gani ya gari kati ya hizo tajwa inayoweza kuwa...
Back
Top Bottom