Habari wana JF,
Natafuta tabibu wa mifugo hasa nguruwe. Nahitaji anishauri na anisaidie kutibu pia. Nguruwe wangu wapo kama saba maeneo ya mapinga njia ya bagamoyo. Mwenye number ya tabibu mzuri naomba anisaidie.
Hongera mkuu, mi natafuta mtu wa kufuga nae. Kama upo tayari tuwe partners tuongezr idadi ya mifugo na miundo mbinu. mi sina eneo la kufugia ndio changamoto kwangu
Hongera mkuu, mi natafuta mtu wa kufuga nae. Kama upo tayari tuwe partners tuongezr idadi ya mifugo na miundo mbinu. mi sina eneo la kufugia ndio changamoto kwangu
samahani kwa kwenda nje ya topic
Hill Veterinary Center
Phone: 0658444624