Ugonjwa wa kuhara damu (Coccidiosis) kwa kuku

Wacha nijaribu, nimepoteza vifaranga vingi sana.. Ngekua tajiri sasa
ukitumia hiyo haviwezi kufa, utanieleza - sababu inatibu magonjwa mengi nyemelezi kama Mafua ya ndege na Magonjwa ya kuharisha. So just be happy !! Vijiko viwili vya chakula kwa ndoo ya lita ishirini kwa muda wa siku 5 hadi 7.

Pima ratio ya dawa kutokana na idadi ya kuku ulionao kwa mfano ndoo ya lita kumi - kijiko kimoja cha chakula nk.
 
Asante sana ubarikiwe
 
Asante sana ubarikiwe
Zingatia hili.ukizingatia hili hakika vifaranga wako hawatakufa.

1) siku ya kwanza vifaranga wako wape neoxychik hii INA mchanganyiko wa antibiotics na vitamin .Hii ni muhim sana kuimarisha kinga ya mwili wa kuku wako.usisahau kuwapa glucose.

Siku ya saba wape kukuwako chanjo ya mdondo na stressvita.
Siku ya kumi na NNE wape chanjoo ya Gumboro
Siku ya ishirini na moja wape kuku wako chanjo ya mdondo tenaa.

NB
Vifo vingi vya vifaranga hutikea sababu ya kukosea menejiment hii.

Wik ya pili na nusu wape vifaranga wako mchanganyiko wa amprolium na doxycol.
..ukizingatia haya vifaranga wako hawatakufa.

Kwa ushauri zaidi usisite kunipigia kwa namba
0752367114
 
Vifaranga vyanngu vinakufa kila siku, kuku hawaongezeki na madawa natumia lkn huwa wanavaa koti tu
Pole sana mkuu, ila unawapa chanjo hao vifaranga wako? Kama jibu ni hapana basi utaishia kula sana mayai, maana kama kuna mlipuko wa ugonjwa flani katika eneo lako alafu huwapi chanjo basi jua kuwa utabadili kila aina ya dawa ila hutofanikiwa kamwe...!
 
Zingatia hili.ukizingatia hili hakika vifaranga wako hawatakufa.

1) siku ya kwanza vifaranga wako wape neoxychik hii INA mchanganyiko wa antibiotics na vitamin .Hii ni muhim sana kuimarisha kinga ya mwili wa kuku wako.usisahau kuwapa glucose.

Siku ya saba wape kukuwako chanjo ya mdondo na stressvita.
Siku ya kumi na NNE wape chanjoo ya Gumboro
Siku ya ishirini na moja wape kuku wako chanjo ya mdondo tenaa.

NB
Vifo vingi vya vifaranga hutikea sababu ya kukosea menejiment hii.

Wik ya pili na nusu wape vifaranga wako mchanganyiko wa amprolium na doxycol.
..ukizingatia haya vifaranga wako hawatakufa.

Kwa ushauri zaidi usisite kunipigia kwa namba
0752367114
Asante mkuu nitaanza hili,
 
Pole sana mkuu, ila unawapa chanjo hao vifaranga wako? Kama jibu ni hapana basi utaishia kula sana mayai, maana kama kuna mlipuko wa ugonjwa flani katika eneo lako alafu huwapi chanjo basi jua kuwa utabadili kila aina ya dawa ila hutofanikiwa kamwe...!
Nashangaa kuku wa majirani wana kua lkn wangu ufa, ni wadogo tu pekee na dawa nilikua natumia
 
Wanakufa tu wakianza kuingia wiki ya 3-4 hivi, baada ya hapo hakuna kinachobakia.. Wanataga upya ni mwendo huo huo
Hadi unakata tamaa nipo nakula mayai tu sasa

Dawa ni hizi ninazoshauriwa sioni manufaa
76ea49fa70159c015fb86a9577ac238b.jpg
Pole ndugu! Hata mimi nilitumia dawa hizo lakini vifaranga walikuwa wanakufa. Wakishusha mbawa tu hapo ni kwaheri! Tujaribu huu ushauri!
 
Tunashukuru kwa dondoo za ugonjwa kama ulivozitoa.
Ila nakushauri unapokua unaandika mada sensitive na ya kisayansi kama hii uwe na uhakika na unacholeta kwa jamii. Nasikitika ushauri wako wa kuchanganya dawa sio sahihi,,rudi tena darasani na usome pharmacology yako vizur. Tiba za wanyama pia zina maadili na taratibu zake ,, si dawa zote zinachanganywa na kubaki na ufanisi wake.
 
"Sasa hapo umewasaidiaje wafugaji.hili ndo tatizo LA watanzania
Hapa hatumtafuti bingwa wa pharmacology.Mwenzio akikosea we we njoo na solution nzuri ili wafugaji wafaidi.
Any way always experience matter.
Nimekua nikitumia amprolium pekee kwa kesi za kuku kuharisha dam,mharo wa brown au ugoro.but wafugaji wamekua wakilalamika sana kua kuku wako hawaponi.ikabindi nizame kwenye vitabu kuangalia nini tatizo. Sasa nakushauli pitia Mecky veterinary manual utaona kasema nini.sasa hapo utajua kua mchanganyiko nyiko ni sa hihi au sio sahihi.Baada ya kupata utatuzi huu nimetumia mchanganyiko huo hakuna mfugaji alie lalamika.
Naomba kila MTU asome screenshot ya reference hasa mstari wa mwisho chini au yote.

Nimeattach sehem screenshot kuonyesha sehem ya references. Pia nieleleze kusikitiswa kwangu kua huruhusiwi kupinga scientific issue bila kua umefanya research. But hapa tunaelimishana.kama una paper yoyote au research yoyote inayo sema amprolium should not mixed nikotayari kuipokea kwa maendeleo ya mifugo yetu na wafugaji wetu.
 
Attachments

  • IMG_20180118_222513_148.jpg
    IMG_20180118_222513_148.jpg
    66 KB · Views: 220
DAF0F30A-34D6-46D7-B964-0496713FB4DF.jpeg
DAF0F30A-34D6-46D7-B964-0496713FB4DF.jpeg
A331A6E4-7B31-4BD9-8828-B501CF0419C6.jpeg
Mkuu songoros FUSO ivan don habari zenu!!

Msaada, ninae kuku huyo yeye akitotoa vitoto vinakua design hii

• manyoya hayana afya membamba
•sehem za chini kama yamenyonyoka hadi ngozi inaonekana
Kama uonavyo pichani. Shida inaweza kuwa ni nini? Maana ni mara ya pili anatoa ivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom