Recent content by Marathon

  1. Marathon

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Safi
  2. Marathon

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Simba.. Leo umetuacha sana bila episode hata mbili tatu sheikh...
  3. Marathon

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Sh Usha vitu kaka...
  4. Marathon

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Je ukihesabu ukapata 11 tafsiri yake inakuaje au unazijumlisha tena..?!
  5. Marathon

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI IST 1290 cc

    Acha dharau.. Kwani beki 3 sio binadamu au hastahili kuwa na gari..
  6. Marathon

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Nipo PM mkuu
  7. Marathon

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Mkuu hapa fanya msaada.. Hili swala ni zito sana sana.. Au nije PM mkuu
  8. Marathon

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakileta nitag... Kama ni la 1xbet
  9. Marathon

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Nasubiri majibu yaje...
  10. Marathon

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Visa vimepungua sasa hivi... Sijui saivi wamegoma kuliwa kimasihara au vipi... Hahahaha
  11. Marathon

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Noma sanaa...
  12. Marathon

    JamiiForums Tanzania Ufahamu uchawi wa Sigil

    Mkuu mimi itabidi unipe mwongozo nikutembelee msata kabisaa... Tuyajenge kuna mengi sana PM hatuwezi kuyamaliza..
  13. Marathon

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Mkuu.. Mimi naomba nije Pm kabisaa nahitaji hili darasa kwa namna utakayoona wewe itanifaa...hata kama kuna gharama kidogo it's ok bro..
  14. Marathon

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona 1xbet saivi sioni option ya kuweka hela na kutoa kwa njia ya mitandao yetu ya simu... eg, voda. tigo.. etc... hebu nipe msaada apo
  15. Marathon

    JamiiForums Tanzania Hataki kuchukua mahari yake nifanyeje??

    Yes endelea na maisha... weka mawazo yako kwa mtoto saiv... Fanya mpango ukutane na ndugu wa pande zote mbili i mean kwa mfano wajomba zake na wako au babu zenu.. mahari hua hairudishwi ila ni mambo yanaongelewa tuu then kila mtu anafuta swala lake....
Back
Top Bottom