Recent content by marapaap

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe umesikitisha watanzania na unapaswa kupingwa na kila mtu

    Niko tayari kufa..Lissu kapigwa risasi na askari...RAIA gani anaweza kuingia kwenye makazi ya viongozi wakati kuna wanajeshi wanalinda ...tusipindishe maneno...Mbowe toa ushahidi hadharani dunia yote ijue kuna Bokassa mpya kazaliwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaudhoofisha upinzani

    58.46% alizopata JPM 2015 zitashuka 2020 baada ya maboko anayopiga...wajiandae kuiba kisomi..wakikosea kama 2015 kitanuka
  3. M

    JamiiForums Tanzania EX wa Uwoya atuma ujumbe kwa Janjaro

    WASAFI CLASSIC BABY(WCB)...CHUBUUUUUU BOSI NA Richard
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kigugumizi goli la Kichuya,na penati waliyonyimwa Mbeya City.

    Manara kawatisha marefa ....ubingwa sio kazi nyepesi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa Yanga SC tafadhali hatumtaki tena Kocha Lwandamina tumemchoka

    Matajiri wa Yanga jitokezeni timu ina hali mbaya...dirisha dogo linakuja tufanye usajili wa maana hata wachezaji wapya watano...Mohammed issa na Selemani Kihimbwa(Mtibwa)...Marcel na Peter Mapunda(Majimaji) ...Shahibu Kiyombo (mbao fc) na Bossou arudishwe kikosini...Believe me Yanga itakuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Siwezi kwenda CHADEMA kumfuata Lowassa niliyemkataa kwa zaidi ya miaka 10!

    Hili jamaa lingedunguliwa risasi ya makalio na yule "sniper"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anabezwa na wachache wa ndani lakini kawatoa maneno watu maarufu duniani kama hawa hapa...

    Mkabila sana...unahutubia Taifa unaongea lugha za ajabu...Nyerere alikataza haya mambo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Tetesi za kufanyika mabadiliko ya Utawala Zanzibar

    Mijiaskari toka bara ndio inakuja huku kwetu kuumiza watu wakati sisi wenyewe tunapendana...sauti ilisikika ndani ya boat
  9. M

    JamiiForums Tanzania Manara: Wanasema kikosi cha Simba kina thamani ya bil.1 umewahi kujua kama Chirwa pekee ana thamani ya mil.200?

    Haijawahi kutokea Ngoma.Chirwa na Tambwe wote wacheze na Simba na kufungwa...Manara mshamba ingawa kazaliwa Kariakoo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyalandu, Msigwa na Lembeli ni utatu mtakatifu kwa maslahi binafsi?

    Tuingie road kudai katiba mpya ..porojo zimetosha nchi ilikuwa na vyama vingi kabla ya uhuru
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

    Muwe mnamlazimisha kunywa dawa..hata kama hataki
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC Mkoa wa Dar es Salaam asema atakayeleta vurugu mkoani kwangu ashughulikiwe na aliyemkamata asiachiwe

    Naenda kununua land rover ya kitambo nafunga ngao ya chuma cha pua .naanza kuzunguka mwezi mzima mjini...ukijichanganya uso kwa uso ...nimemkumbuka Dumisa Dube
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Kwanini Ikulu tu ndio wapate live coverage, Bunge, Mahakama zinafunikwa?

    Ukawa waruhusiwe sorry haki yao kikatiba uone muujiza
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu CCM haimwezi, ni untouchable

    Wapiii..zero brain akipewa order anamtwanga marisasi
Back
Top Bottom