Viongozi wetu wa Yanga SC tafadhali hatumtaki tena Kocha Lwandamina tumemchoka

Angekuwa kweli ' Chakula / Bwabwa / Punga ' angeweza ' Kuupiga ' vizuri vile Fabo / Mpira Mkuu? Sema tu nae aliharibu tu kule kuvalia kile ' Kikuku ' chake Mguu wa Kushoto ndiyo maana ' Masela ' wakahitimisha kwamba huenda ' anashindiliwa ' Kibaiolojia na Mikuyenge ya ' Madume ' wa down town.
Haijalishi. Yule Rand Orton mcheza mieleka ya WWE pamoja na ubabe woote uke kumbe ni CHAKLA. Kuliwa kumbe hakuondoi nguvu.....
Hata huyu dogo papii naye yawezekana aliwa lakini mashuti ya mupira yako vilevile...
 
Huyu Kocha wetu wa sasa Mzambia George Lwandamina kiukweli Mimi GENTAMYCINE kama mwanachama halali kabisa wa Yanga SC nasema hatufai na hatuoni ' tija ' yake ndani ya Klabu yetu hivyo tumekubaliana ' Matawi ' yota ya Yanga SC kuuambia Uongozi wa Yanga SC kuwa umfukuze mara moja.

Haiwezekani huyu Kocha Yeye kila siku tu ni kutupangia ' michezaji ' mibovu na mizigo katika Timu yetu kama Ibrahim, Obren Chirwa na Papy Kabamba Tshishimbi ambao kiukweli hawajui mpira, hawastahili hata kuichezea Yanga SC na kila siku wanatugharimu tu katika mechi zetu na hata mishahara mikubwa tunayowapa.

Najua Viongozi wengi wa Yanga SC na hata Msemaji wangu Dismas Ten huwa mnapitia sana humu JamiiForums hebu basi kwa niaba ya Wanachama wenzangu wote wa ' Matawi ' ya Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam Mimi GENTAMYCINE nawaomba achaneni haraka na Kocha Lwandamina.

Wengi wa Wanachama wenzangu wa Yanga SC tunataka Kocha Mkuu wa Yanga SC awe Jackson Mayanja na Msaidizi wake awe Jamhuri Kihwelo ' Julio ' kwani hawa ndiyo Makocha ambao wataiweza Yanga SC yetu na hata kutufikisha katika Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na kuchukua Ubingwa na pia kutusaidia kuutetea tena Ubingwa wetu wa VPL na kuwapokonya Simba SC Kombe la ASFC.

Ombi langu kubwa leo kwa Wanachama wenzangu wa Yanga SC nchi nzima ni kwamba naomba kila mmoja wenu hapo alipo apige ' dua ' yake anayoielewa ni leo pia Simba SC ama ifungwe au itoke sare na Mbeya City huko Mkoani Mbeya kwani kwa dalili zote ninazoziona kama Simba SC leo itashinda huko Mbeya watakuwa wametuacha kwa points mbili ( 2 ) hali ambayo kwa Kikosi cha Simba SC jinsi kilivyo Kizuri kinaweza kikatupa sana taabu Sisi kuwafikia.

Tafadhali sana Kaimu Mwenyekiti Clement Sanga na Katibu Mkuu wa Charles Mkwasa Sisi Wanayanga wa ' Kindakindaki ' hatumtaki Kocha Lwandamina na tunamtaka Mayanja na Julio waje kuokoa ' jahazi ' lakini pia tunawataka muachane upesi na hawa Wachezaji Ajib, Chirwa na Tshishimbi kwani wana Kiwango kidogo sana cha kuchezea Klabu yetu kubwa barani Afrika na ya Kimataifa pia.

GENTAMYCINE na Wanayanga wote wa Matawi hapa Dar es Salaam tutashukuru kama mtayazingatia haya.
Duu, jamaa kweli katapika tena katapika mlenda.
 
Matajiri wa Yanga jitokezeni timu ina hali mbaya...dirisha dogo linakuja tufanye usajili wa maana hata wachezaji wapya watano...Mohammed issa na Selemani Kihimbwa(Mtibwa)...Marcel na Peter Mapunda(Majimaji) ...Shahibu Kiyombo (mbao fc) na Bossou arudishwe kikosini...Believe me Yanga itakuwa bingwa Mara ya 4 mfululizo na kufanya vizuri CAF
 
img-20171105-wa0002-jpg.624546
 
Back
Top Bottom