Mkuu kama umeagizwa na mkuu wako ina maana wewe huna utashi?.....i.e wapi ameonesha kumshauri mkuu kua hilo lina A,B,C,Suala sio kujisifu tuuu eti wewe ni mzoefu wa masula hayooo ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu tuu....yeye kama mwanasheria mbobezi wapi alishauri kwa nafasi yake kuwa suala hilo lina impact 1,2,3,au just ushauri tuu then tuanzie hapo kuwa ushauri wake ulipuuzwa....la sivyo anaweza kuwajibika kwa nafasi yake....kosa la mwingine haliwezi kukuhahalisha wewe uwe msafi....eti mbona flani kaiba tulikuwa nae...tuwajibishe wote...hahaha haipo hiyo mkuuKawaida kwenye utendaji wa serikali, kunakuwa na kikao cha baraza la mawaziri. Rais ni mwenyekiti. Akisaini executive order, nani atathubutu kukataa? Kumbuka Nyoka Mwenye Makengeza ni mzoefu sana kwenye utendaji unaohusu mikataba na utekelezaji wa maamuzi ya pamoja.
Khantwe....Haya maswali ulitakiwa ukamuulize Chenge
Haha kumbe wewe mfia chamaKhantwe....
Mimi wala sina chama 100%Haha kumbe wewe mfia chama
Haya weeMimi wala sina chama 100%
Mi napenda kuchangia mawazo mbadala tuu...sipendi mtu asifiwe eti yeye ni kichwa hawezi kushtakiwa...mwanasheria mzuri anatakiwa aprove beyond reasonable doubt kuwa hausiki...sio eti hausiki peke...kwa hiyo usomi wake ategemee migongo ya wengine?ukombozi kama upo?
yaani mi naona jamaa ni mwepesi sana tuuu...yake huo sio utetezi wake....
Unasema ukweli mtupu. Tatizo ni kuwa unayoyasema siyo hali halisi ya yanayotokea kwenye serikali.Mkuu kama umeagizwa na mkuu wako ina maana wewe huna utashi?.....i.e wapi ameonesha kumshauri mkuu kua hilo lina A,B,C,Suala sio kujisifu tuuu eti wewe ni mzoefu wa masula hayooo ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu tuu....yeye kama mwanasheria mbobezi wapi alishauri kwa nafasi yake kuwa suala hilo lina impact 1,2,3,au just ushauri tuu then tuanzie hapo kuwa ushauri wake ulipuuzwa....la sivyo anaweza kuwajibika kwa nafasi yake....kosa la mwingine haliwezi kukuhahalisha wewe uwe msafi....eti mbona flani kaiba tulikuwa nae...tuwajibishe wote...hahaha haipo hiyo mkuu
Cc:
Khantwe
Lambardi
Tukampime mateee aseee......maana hakuna namnaEti aliyeniagiza mm kusaini ndio aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za serikali,,jamaa mchochez sna yule![]()





























“I’m not stupid to sign an agreement without security”. That sums it all!
word!Wapiii..zero brain akipewa order anamtwanga marisasiCCM inamuogopa Chenge vibaya mno !
Kaweka brackets, hauzuoni mkubwa?CHENGE siyo Mnyamwezi.