Recent content by mapundapetro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata Turbo VPN

    Habarini waungwana, Nina shida VPN nimejaribu hatuner bado Iko slow mwenye kujua code za turbo VPN tafadhali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni App gani hutumika kuchora ramani?

    Habarini wakuu, Rejea mada tajwa hapo juu. Nataka kujua ni app gani hutumika kuchorea ramani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dada anahitaji kazi yoyote ile

    Habari wakuu, natumai ni wazima wa afya bila ya kupoteza muda usika na mada tajwa hapo juu, Dada anahitaji kazi yoyote Mawasiliano 0687617293
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza duka lolote

    Habarini wakuu humu ndani natumai ni wazima nyote. Bila ya kupoteza muda rejea mada tajwa hapo no Dada anatafuta kazi ya kuuza duka nk. Kwa yeyote mwenye kuhitaji huduma yake Mawasiliano, 0757464418 0652286330
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaofahamu maduka ya dawa za mifugo kwa Bei ya jumla

    Kwenda kuuza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaofahamu maduka ya dawa za mifugo kwa Bei ya jumla

    Habari za asubuhi wakuu, Natumai hamjambo nyote lengo langu ni kutaka kujua maduka wanayoza dawa za mifugo kwa Bei ya jumla Dar es Salaam.
  7. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa ipo Pugu Kinyamwezi

    Habariniwakuu na pia napenda kuwapa pole na majukumu ya ya Kila siku husika na mada tajwa happy juu kuwa nyumba inauzwa 10ml. Ipo pugu kimyamwezi umeme upo pia Hadi bomba la maji lipo Kwa Mawasiliano zaidi Piga 0745299167
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutana na fundi unjenzi mwenye umakini na kazi yake

    Mawasiliano 0657827698
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutana na fundi unjenzi mwenye umakini na kazi yake

    Tupe kazi itafanyika kwa weredi mku wa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutana na fundi unjenzi mwenye umakini na kazi yake

    Ndugu wakuu husika mada tajwa hapo juu , kwa ramani bora za nyumba zenye kukizi haya ya mtanzania pia tunajenga na kufanya finishing tupo makini na hii kazi kwa mawasiliano piga 0688802481
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa tofauti kati ya ubongo na akili

    Habari wakuu napenda kujifunza utofauti upo wapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

    Kabla ujachangia tafakari neno
Back
Top Bottom