Recent content by Maps

  1. M

    Naombeni ufafanuzi wa kisheria

    Kutokuwa na plate number ni kosa, hata polisi wanaofanya kazi maalum wanpewa plate number tofauti na za kawaida, sio kuruhusiwa kuendesha pasipo plate number. Huo ni uozo na kulindana.
  2. M

    DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

    Huyu jamaa amewadhalilisha walimu, naungana na Mama Mahiza, apimwe afya ya Akili, inawezekana si mzima duh!
  3. M

    Sema Usikike: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada Mbunge

    Sema Usikike ni gazeti la udaku siku.
  4. M

    Vigogo wahaha kumwokoa Masha

    Nadhani hii nchi inaelekea kubaya sasa. Tumesikia mengi sana kuhusu Masha, Magazeti yanamwandika sana. Ukweli hakuna anaeujua kwa kuwa Masha hajasimama kujubu tuhuma yoyote dhidi yake, nadhani kama hoja ya Slaa ingewkenda Bungeni tungejua ninani mkweli kwa sababu kinachoonekana hapa ni kama...
  5. M

    IPPMEDIA, Magazeti mapya na nyeti za marsha na karamagi

    Ni wazi Mengi amepania kummaliza Masha pasipo sababu, ninaamini hayupo peke yake, kuna watu nyuma yake ambao wametengeneza mtandao kwa ajili ya kufanya kazi hiyo. Kwa mfano, SEMA USIKIKE inasema Masha alisafiri tarehe 1 Oktoba kwa Swiss Air akitoka Dar kwenda Geneva. Binafsi nilikutana na Masha...
  6. M

    Huu tuuite Ufisadi2

    Wabongo tumezidi kwa kweli, ukipita saa tatu watu wapo baa, wanafanya kazi saa ngapi kama sio ufisadi. Kuna watu hata wahajui ladha za vitanda vyao maana ni kilaji na totozi kwa kwenda mbele bila kusahau wapambe, Tutafika kweli? Tunahitaji kubadilika, kila kitu kwa kiasi.
  7. M

    Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

    Kwa waliosoma article ya Yahaya Charahani kwenye Mwananchi ya leo anaweza kuangalia jambo hili katika mtazamo mpana zaidi. Hebu jiulize ni kwanini Magazeti ya Mengi ndo yapo mstari wa mbele kuandika kuhusu Masha. Tangu wameanza hakuna jambo lolote jipya walilotuambia zaidi ya kuzunguka na...
Back
Top Bottom