IPPMEDIA, Magazeti mapya na nyeti za marsha na karamagi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IPPMEDIA, Magazeti mapya na nyeti za marsha na karamagi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nat867, Feb 9, 2009.

 1. n

  nat867 Member

  #1
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona Ippmedia imeingiza gazeti jipya sokoni likienda kwa jina la SEMA USIKIKE. Gazeti hili toleo la 001 limebeba kichwa cha habari Masha akutana na wababe wa mchezo mchafu geneva -kikao kilifanyika 5 okt 2008 saa 12 hadi 2 usiku chumba0306 hotel mandarin oriental.

  Pili naona wamefufua gazeti lao la Taifa letu(binafsi nilikuwa sijaliona long time may b memberz mlishaliona).Toleo la leo na. 00487 lina habari "karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo wenzake, avunja ndoa ya mkuu wa wilaya kwa kufanya mapenzi na mkewe, anafanya urafiki na mwenye mke kisha anamgeuzia kibao.Linabainisha kuwa mkuu wa wilaya yupo huko kigoma na ni kijana..
  Nikiangalia kumbukumbu zangu naona DC kijana either ni mh. mongela Wa kigoma urban/rural or mh. Bwanamdogo DC wa kasulu.

  Hayo mambo mapya ya ippmedia
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama unavyojua kuna magazeti kama tazama , hoja na mengine mengine ambayo mengi anayatuhumu yanatumiwa na mafisadi kumchafua ndio maana na yeye amefufua hayo magazeti yake kuchafua wengine ukisoma hilo la sema usikike mambo yote yamenukuliwa toka jamiiforums
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  shy wacha anukuu jamiiforums si kila mtu anasoma ufisadi kwenye website ....wacha wengine wale vile tunavyokula jf
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya bwana lakini hapo baadaye tusije kutafutana kutokana na comments ??
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...ina maana gazeti lake la Taifa Letu ameligeuza kuwa la udaku ama? halafu pia si kuna gazeti la wanaotuhumiwa ufisadi leneye jina la Taifa nini sijui, ama nimechanganya somo? Nijuzeni tafadhali.
   
 6. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  naona hizo habari ni za kweli vinginevyo tunategemea karamagi na masha wa sue for defamation!!!
   
 7. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni kweli Masha alikwenda Geneva mwezi December kwaajili ya mkutano uliondaliwa na UNHCR,na inawezekana kabisa alikutana na wawakilishi wa SAGEM katika hoteli yake lakini nafikiri ni vigumu sana kuthibitisha tuhuma za aina hii.

  Sijui hilo SEMA USIKIKE limetoa uthibitisho gani kuhusu kama ni kweli Mh.Masha alikutana na SAGEM.Nafikiri magazeti mengine yanatafuta kufilisiwa kabla hata hayajatake-off.
   
 8. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama haya ni kweli, basi huu ni msiba. Kazi ya magazeti ni kuelimisha, kuhabarisha nk. Sasa yanapogeuzwa kuwa ya kuchafuana, tunajenga jamii gani TZ, tunawarithisha nini watoto na wajukuu zetu. Hii ni sawa na magazeti ya udaku, yanaharibu jamii kuliko kuijenga.
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mh, haya magazeti ambayo yanaanzishwa kwa lengo na madhumuni ya 'vita' ni hatari sana na sijui mwisho wake ni nini. Yaani huyo mmiliki wa magazeti na hao adui zake wameshindwa kufikia suluhu kabisa- yaani ni jino kwa jino.

  Kuelekea 2010 tutaona na kusikia mengi mno isijetokea hata majeshi ya siri yakaanzishwa ili kutengeneza vifo vya watu (maadui). God forbid!
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  - Hiyo inaitwa Jino-Kwa-Jino: Ubaya ubaya TU ...

  - Karamagi+RA& Co vs Ippmedia (Mhavile/Sakina/Mengi &Co)

  - what a match?
   
 11. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kweli kaka hii ni JINO kwa JINO, lakini mwisho wake nini? Tunatokomeza ufisadi au? Mpaka 2010 ifike na tumalize uchaguzi, ipo kazi
   
 12. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Walianzia huku tena JF ilitabiri hata kabla magazeti hayo hayajaanzishwa rasmi
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mengi anashusha dhima ya vyombo vya habari nchini
   
 14. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #14
  Feb 10, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ilibidi nae afungiwe au hayo magazeti yafungiwe kwanini mtu anatumia vyombo vyake kufanya uhalifu ?? Huo ni uhalifu
   
 15. P

  Papa Sam Senior Member

  #15
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yote ni maisha Mengi nI MTU WETU TUKO PAMOJA, mafisadi watamchafua mtu ambae hachafuki,
   
 16. t

  tk JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna msemo wa Kiingereza kuwa 'if you urgue with a fool, people will not notice the difference'
   
 17. m

  masaiti Senior Member

  #17
  Feb 11, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani Mengi naye siyo msafi, mimi naweza kumwita fisadi tena wa kuogopwa siyo katika usafi wa ndoa yake tu, bali kwa kupotosha na kuwapumbaza Watanzania kwa kuwa na magazeti mengi yasiyowafunza Watanzania. Baada ya kuona yeye ni mchafu naye ameamua kuwachafua wengine.

  Kwa mtindo huu wa kuchafuana hatutafika pamoja popote. nchi haijengwi kwa kuchafuana, bali ni fikra chanya kwa maendeleo yetu.

  Kuna taarifa nilizipata kuwa Mh Membe na Mengi wako karibu sana, Kama tujuavyo Membe na Masha hawaivi chungu kimoja, Hivyo wanataka kufanya kila kitu ili malengo yao yaweze kutimia, sijui ni malengo gani. Ila nijuavyo mimi Membe anaifikiria 2015.
   
 18. M

  Maps Member

  #18
  Feb 11, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wazi Mengi amepania kummaliza Masha pasipo sababu, ninaamini hayupo peke yake, kuna watu nyuma yake ambao wametengeneza mtandao kwa ajili ya kufanya kazi hiyo. Kwa mfano, SEMA USIKIKE inasema Masha alisafiri tarehe 1 Oktoba kwa Swiss Air akitoka Dar kwenda Geneva. Binafsi nilikutana na Masha Dubai tarehe hiyo hiyo akitoka China Kwa safari ya Kikazi, hapa ndipo maswali yanakuja hawa wanaandika ukweli au wanataka kutuaminisha wanayotaka wao? Kwa taarifa tu, Gazeti la majira limenunuliwa na Mengi pia.
   
 19. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #19
  Feb 11, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu maps mbona hatumuongelei huyo dada anayeitwa lilian kimaro mfanyakazi wa msajili wa makampuni brealla ? Sio yeye anayemsadia mengi katika kufanikisha adhama zake chafu katika kutoa siri za baadhi ya kampuni nchini kwa bwana wake ??
   
 20. M

  Mabula Member

  #20
  Feb 11, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  we are finished! why discuss about people instead of issues of national interest? is jf taking over from global publishers? lets maintain the status of jf for being creative,innovative and open minded.we need reseached information to be shared among us and help our nation move and remain safe from the few grid fellas maarufu kama mafisadi
   
Loading...