Huu tuuite Ufisadi2

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
Wabongo wengi tungekuwa mbali kama tungeachana na mambo haya kwenye familia zetu.
a Ulevi
b Ngono
c Hatuangalii tunakokwenda
jaribu kutafakari kwa mwezi umetumia shilingi ngapi kwa simu yako ya mkononi?je ilikuwa lazima? je kwa mwaka ?
 
nadhani unaingilia privacy za mtu hapa? angalia inawezekana ukapingana na tamko la UN la haki ya mtu kuwa faragha!!!!!!
 
Kinywaji???

Du..hata Ulaya kilevi kipo tu!

40% ya Kodi mzee ni kilaji!!!

Sasa unataka wote tunywe tu soda?? na ndo hujenga barabara na kuwalipa waalimu na madaktari! Uko hapo?

Du!!!

Mbona Balaaaa!!!!
 
ha ha ha mkuu kilaji ndicho kinacho kinachomfanya mtu atafute kwa bidii, kumbuka pia Human being is a 'Social being' haya mambo huwezi kuyatenganisha otherwise tija ya mtu huyu itazorota. Similarly, swala la mawasiliano. Hapa ni swala la kiasi, lakini sio kuacha.
 
Swala sio tusitumie kinywaji.ila kuchuna mabuzi,majisifa ya kuwalipia washkaji mapombe kibao,nyumba ya pili nk.kwenye nchi za ulaya sijaiona kama tambalare kwetu.
 
swala sio kutotumia kilevi,ila ulaya sijasikia kuchuna mabuzi ,kuwalipia washkaji mipombe ,nyumba ya pili nk.au kwa vile kwetu Bongo Tambarare?
 
Sina maana tusitumie kama kilaji ,ila Mapombe bila mpangilio ,masifa kuwalipia mapombe washkaji ,nyumba ya pili hii ulaya haipo au kwa vile Bongo yetu Tambarare?HIV je?
 
Wabongo tumezidi kwa kweli, ukipita saa tatu watu wapo baa, wanafanya kazi saa ngapi kama sio ufisadi. Kuna watu hata wahajui ladha za vitanda vyao maana ni kilaji na totozi kwa kwenda mbele bila kusahau wapambe, Tutafika kweli? Tunahitaji kubadilika, kila kitu kwa kiasi.
 
hasa baadhi ya vijana wakija toka ulaya, ndio inakuwa hivyo pombe .totozi kwa kwenda mbele.

tubadilike kwa kweli kwa haya tuwe na kiasi
 
Tembeeni sehemu zingine pia duniani ndo mjionee...kilevi ni kila mahali tangu US, Ulaya, Japan n.k

Umefika Zambia ukaona wenzetu wanavyochapa maji?

Au Russia watu wanavyopata Vodca?

Kila kitu ni powa tu..sema tuwe wa kiasi!

Kama ni totos..Mbona Clinton nae alikuwa na Monika??
 
Back
Top Bottom