Recent content by mapatano

  1. mapatano

    JamiiForums Tanzania James Mbatia aamua kufuta kesi dhidi ya Halima Mdee

    Mbatia alipewa papuchi yakaisha
  2. mapatano

    JamiiForums Tanzania Mbowe rudisha hela zetu

    Unamdai Mchaga pesa Yesu na Maria!! Wewe ndio Simbilisii kweli Yaani yeye atoke Machame kuja mjini kutafuta pesa wewe unadai? Kwanza unatakiwa utoe pesa nyingine haraka maana huna asili ya kukaa na pesa peleka kwa Mbowe haraka mwenye asili ya mapesa
  3. mapatano

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amuonya Abdalah Bulembo na CCM waache kumchokoza mara moja!

    Gwajima ni mdudu gani ndani ya Taifa.wewe tulia muda.si mrefu utajua GWAJIMA ni kama sisimizi tu.nyinyi mnaomyenyekea huko Kanisani kwake ndio mnomuona.Mungu wenu
  4. mapatano

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Ungeteuliwa wewe ungekataa.Shughuli za Serikali kakuambia nani ni siku 25?
  5. mapatano

    JamiiForums Tanzania 'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

    Hivi Kingunge CCM ya leo ni nani? Mbona hakuna mwenye shughuli nae?
  6. mapatano

    JamiiForums Tanzania Hoja za Kingunge zilishajibiwa na mzee Mwinyi

    Hii safari kila mmoja ataongea lake Je ni mara ya kwanza Lowassa haya kumtokea? Hii nchi haiko vile mnavyofikiri hata Kikwete alikuwa hambebi Membe. MAGUFULI ndio aliandaliwa mapema sana na hata alipochukua FOMU na kwenda kwa namna alivyoenda katika kutafuta Wadhamini ni maelekezo Lakini...
  7. mapatano

    JamiiForums Tanzania Hoja za Kingunge zilishajibiwa na mzee Mwinyi

    Sasa kama wanasema hazijakiukwa yeye analazimisha je zimekiukwa? Kingunge mwenyewe ndie mmoja wa chanzo cha LOWASSA KUKATWA CCM maana alikwenda kwenye Mkutano wa hadhara wa SAFARI YA MATUMAINI kwa maana ya kwamba walianza kampeni mapema na kinyume cha utaratibu
  8. mapatano

    JamiiForums Tanzania Hoja za Kingunge zilishajibiwa na mzee Mwinyi

    Mzee Kingunge haiwezekani kamwe nchi kuongozwa kutokana na Mahaba kwa Lowassa, yaani umejidhalilisha na hata ongea yako ilikuwa inakusuta.sisi CCM tunasema RAISI WA TANZANIA AWAMU YA TANO NI JOHN MAGUFULI
  9. mapatano

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Siku ya wajinga huwa Mwezi wa Kumi?
  10. mapatano

    JamiiForums Tanzania Wakati Lema akilalamika Monaban anamwaga sera zake Arusha

    Siku 4 zimekupa picha ya Arusha? Na kwenye maeneo yapi?
  11. mapatano

    JamiiForums Tanzania Kippi Warioba jiheshimu

    Acha ushamba wewe kwani namba ni nini? Hata ukitumiwa ujumbe ndio imebadilisha maamuzi yako? Au unataka umaarufu usiokuwa nao?
  12. mapatano

    JamiiForums Tanzania Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

    Kubenea anafaidi nini?soma mada na ijibu kama ilivyo sio ushabiki
  13. mapatano

    JamiiForums Tanzania Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Mtoto halali na pesa wewe siunajua mahesabu? Bilioni 10 ziachwe? Wakati wanajua hata angesimama Dr.ni lazima chali kwa hio bora kuvuta mkwanja maisha yaendelee
  14. mapatano

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kinachosubiri kuzikwa rasmi Oktoba 25

    Utazikwa wewe.CCM ni Taasisi sio hio SACCOS yenu ya kipuuzi.ishukuruni CCM KUWAPA mgombea alie wajaza mapesa mlishasahaulika masimbilisi nyinyi
  15. mapatano

    JamiiForums Tanzania Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

    Acheni upuuzi unaweza kumlinganisha Mtikila na mpiga Dili Gwajima? Mtikila ni mpambanaji sio Gwajima na ndoa za watu
Back
Top Bottom