Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

Wewe ndo kichwa chako kibovu kabisa.Ni lini list of shame ilitajwa MWEMBECHAI? Ujue watu midomo yenu haina ushirikiano na Ubongo

Mkuu kwa wana lumumba woote sasa hivi ubongo wao umeingiliwa na mnyauko kwa ajili ya uchaguzi
 
Nenda basi wewe kwenye siasa kama unaona kubenea anafaidi

Tulia we gamba,Kubenea unadhani ni polepole wa kutoa povu
Au masaburi fisadi wa UDA

Ulitaka amtetee baba yako?

Punguza kupiga nyet. ..o dogo inakupoteza akili yako

Saed kubenea usiwajali haya mafisi ya ccm, kwani makomeo Ni msafi! Mwizi na yeye, Malaya yeye,dictator yeye, dharau na kejeli kibao na kujiproud kwa Sana!! Lowasa kashatuambia Richmond Ni mzee wa kaya! Wewe songa mbele achana na mafisi (maccm) yaliozoea kuhongwa

Unaonaje ukaenda kuongea wewe badala yake? Mbona una wivu wa kipashkuna

Mchumia tumbo ni wewe na ukoo wako

Mkuu kwa wana lumumba woote sasa hivi ubongo wao umeingiliwa na mnyauko kwa ajili ya uchaguzi

Liulize gamba njaa hilo

Nyumbu hawawezi kujadili hoja. Wanaburuzwa kama bendera fuata upepo tu. Mzee Mkapa hakukosea hata kidogo kuwaita malofa na wapumbavu.
 
Nyumbu hawawezi kujadili hoja. Wanaburuzwa kama bendera fuata upepo tu. Mzee Mkapa hakukosea hata kidogo kuwaita malofa na wapumbavu.

Yaani hapa kwa ushuzi wako huu uliopost ni bora ya ngiri afukuzwaye na smba utumia akili zaidi kuliko wewe
 
Nyumbu hawawezi kujadili hoja. Wanaburuzwa kama bendera fuata upepo tu. Mzee Mkapa hakukosea hata kidogo kuwaita malofa na wapumbavu.

Bora sisimizi ana akili kuliko wee
 
Kweli kabisa mkuu kubenea asonge maana watanzania tumeshaamua kuwachagua ukawa tuu na maccm hata wakikesha wana wanga haita wasaidia kitu
kweli mkuu haya mafisi ya Lumumba na napi, kinena, tumeyafuga miaka 54 zaidi tumbo zao zinajaa Tu zetu zinakuwa empty tena wakishapata huongozi yanacharuka kama simba kuanza kutukandamiza!! Kumbe maisha Yao yapo chini yetu!!! Bila makomeo haujapiga mbizi bado kigamboni sijakupa kura
 
Nyumbu hawawezi kujadili hoja. Wanaburuzwa kama bendera fuata upepo tu. Mzee Mkapa hakukosea hata kidogo kuwaita malofa na wapumbavu.

Tatizo umezoea kuhongwa kama mwanamke Malaya!! vya kutafuta vinakushinda! CCM huko nyuma/mwanzo ishakuaribu...... Poleeee
 
kweli mkuu haya mafisi ya Lumumba na napi, kinena, tumeyafuga miaka 54 zaidi tumbo zao zinajaa Tu zetu zinakuwa empty tena wakishapata huongozi yanacharuka kama simba kuanza kutukandamiza!! Kumbe maisha Yao yapo chini yetu!!! Bila makomeo haujapiga mbizi bado kigamboni sijakupa kura

Mkuu hata wakikesha wamepiga magoti hakuna kuyaurumia hayo majizi tumeteseka sana, tumedharauliwa sana, tumetukanwa sana na sasa nu wakati wetu wa kuyaonyesha kuwa kukaa kimya siyo kuogopa
 
Leo nimesikiliza Saed Kubenea kwenye kipindi cha mada moto kwakweli jamaa kwenye siasa hamna kitu anajikanyagkanyaga tu…!!

Kamshauri kigwangala arudi kutibu wagonjwa coz hiyo ni sekta ambayo inahitaji madaktari hawezi Siasa zaidi ya kujiuma uma tu akiongea 2010 alipata ubunge wa fadhila.
 
Kubenea anafaidi nini?soma mada na ijibu kama ilivyo sio ushabiki

Anafaidi hiyo siasa. Mleta mada anavyomwambia hawezi yeye ni nani, kama anajiona bora si aende akagombee kwanini anakaa kukosoa anayejaribu. Atakavyoona kubenea anaapishwa bungeni atashangaa na roho yake.
 
Kubenea si tu hawezi siasa hata uandishi hawezi

Leo anasema miaka 30, nyerere alifanya kazi kubwa miaka 24 ccm haijafanya chochote, amesahau miaka 13, kati ya 20 ya vyama vingi watendaji wakuu walikuwa sumae na mwizi papa edo,

Leo anataja makampuni ya kifisadi anairuka richmond tena kwa makusudi, kubenea mwogope Mungu..

Jambo baya anadharau hata kazi zilizofanywa na pombe, tena zinazoonekana anasema barabara hazipitiki... kubenea shem on U hujui kusoma hata picha huoni??

Yule jamaa uliekuwa nae kasema nguzo za uongozi, nimeona alipotaja ufisadi ulikosa pozi...
Jitahidin ila mwisho ni ocT.

Kuhusu magufuli na barabarana issue ni ziko chininya kiwango .hatuhitaji barabara mradi iwe lami. Na kuhusu Lowasa na Sumaye kufanya kazi na ccm thats not a problem,wamejua makosa na wameamua yasema na kurekebisha
 
Mkuu hata uandishi hauwezi ndio maana akina Jenerali Ulimwengu walimfukuza kazi kwa kuandikahabari za uongo kumhusu aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kagera,alijifanya kamhoji kumbe si kweli,huyo mwenyekiti alilishitaki gazeti la Rai kwa kuandika habari iliyoandikwa na Kubenea wakati hakuwahi kuhojiwa na Kubenea,leo anataka awe mbunge,na ndie aliyeandika habari ya List of Shame baada ya Dr Slaa kuitaja pale Mwembechai,na alishadadia hadi Nchimbi akaliweka kitanzini gazeti lake,leo hili kala matapishi yake,aliyekuwa anamnanga hadi gazeti lake likapata umaarufu ndie leo hii anajifanya kumsafisha,wanafiki wapo wengi ,usisahau na akina Mpendazoe

Kama hujui usipotoshe. Habari iliyosababisha gazeti lake lifungiwe ni ya ulimboka.
 
Kubenea ni muungo aliye pindukia. Yeye huyo ndoo kila siku alikuwa anatwambia act imenunuliwa na el ml 200 kumbe liongo, lichonganishi, limbea, halafu alivyo yuko kama tapeli tapeli
 
kubenea hata kuandika itakuwa alikuwa anasaidiwa tu, from day one namuona jukwaani akifungua kampeni zake za ubunge hakuwa na lolote la maana.
 
Ukawa hamna jipya kazi yenu majungu tu mkiambiwa ukwel Aaa Mara kahongwa Mara kibaraka baada ya Oct cjui mtafanyaje maana rais wenu JPM
 
Back
Top Bottom