Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!
Hicho ndicho mlichotumwa kukifanya katika final 30 days za kampeni. Hivi ninyi mna fikra za aina gani? Mnafikiri watanzania wanaweza wakasahau mateso waliyoyapata kwa miaka zaidi ya 50 kwa huo upuuzi mtakaopost kwenye social networks kwa siku 30. Eti chadema asilia unajua hata maana ya demokrasia wewe. Nenda kawambie waliokutuma machungu ya miaka 50 hayasahauliki.....
 
Unapoona mtu anadhubutu kunyanyua mdomo wake huku akimsifu lowasa kua nikamanda na akimtuhumu dr.slaa kua ametumwa na CCM mtu huyo muangalie kwa jicho la tatu. Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unakuja na tuhuma zako ambazo hazina hata kamshiko. Lowasa amewalisha nini nyinyi? lowasa shida yake yeye awe rais na sio kutatua kero za watanzania kamaanavyo jinasibu kwenye majukwaa. Angekua ana nia ya kutatua asingetuibia kias hicho. Kama lowasa alikua anaona CCM, mfumo wake ni mbaya na hakuna demokrasia kwanini walichukua fomu ya urais? watanzania ifike mahali tuziache akili zetu zifanye kazi natupunguze mihemko ya vyama vya siasa "Politician ain't humanitarian" tunakazi ya kuijenga Tanzania yetu. Epuka matapeli

Mfumo wa CCM ni wa hovyo ndio maana mnaemwita mwizi leo alikuwepo huko kwenu na mkampa Uwaziri Mkuu sasa mtueleze kwanini mlimfumbia macho kama kweli ni mwizi? Ngoja aingie ikulu ili awadhibiti wezi wenzie ndicho tutakacho
 
Huyu Slaa mwaka 1995 alijiunga na CHADEMA na kupewa nafasi ya kugombea ubunge Karatu unafikiri ndani ya chama kipindi hicho kulikuwa na miti eehee! Mbona yeye alipewa nafasi na kuungwa mkono. Hiyo ndiyo maana ya Demokrasia kila MTU anapewa nafasi ya kusikilizwa kisha wengi wanaamua na huo ndio msingi wa CHADEMA.
 
Unapoona mtu anadhubutu kunyanyua mdomo wake huku akimsifu lowasa kua nikamanda na akimtuhumu dr.slaa kua ametumwa na CCM mtu huyo muangalie kwa jicho la tatu. Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unakuja na tuhuma zako ambazo hazina hata kamshiko. Lowasa amewalisha nini nyinyi? lowasa shida yake yeye awe rais na sio kutatua kero za watanzania kamaanavyo jinasibu kwenye majukwaa. Angekua ana nia ya kutatua asingetuibia kias hicho. Kama lowasa alikua anaona CCM, mfumo wake ni mbaya na hakuna demokrasia kwanini walichukua fomu ya urais? watanzania ifike mahali tuziache akili zetu zifanye kazi natupunguze mihemko ya vyama vya siasa "Politician ain't humanitarian" tunakazi ya kuijenga Tanzania yetu. Epuka matapeli
Pamoja sana
 
Hzo potojo unazopiga humu cshskuwa urojo#tumekuskia#HATUJAKUELEWA#
 
Tumieni akili hata mnapotunga huo uongo title inasema "Msimamo wa chadema asilia" phrase ya kwanza unaandika mfuasi wa Dr. Slaa are you crazy? Aliyewatuma hakuwafundisha?
Hilo liko wazi bado wapo wanachadema wengi tu ambao wanasimamia misingi ya Chadema asilia, sio hii ya Mbowe kubadili gia angani na kuuza chama.

Wagombea ubunge na udiwani wa Chadema, wengi sasa wanapigania maslai yao kwa maana ya viti wanavyoviwania.

Utashangaa baada ya uchaguzi dharau za wabunge zitavyoibuka dhidi ya Chama, ule utiifu kwa chama wote umeisha, Na mpaka sasa ndani ya Chadema hakuna wa kusimamia wala kufuatilia maendeleo ya wagombea majimboni zaidi ya wao wenyewe kukuruka.

Sasa hivi huwezi kuona umoja kama ule wa awali, wabunge kusaidiana kwenye majimbo, mbunge wa jimbo A kwenda kusaidia mgombea wa jimbo B.

Nakumbuka 2010 wabunge wengi sana kama sio wote walitembeleana majimboni, kupeana nguvu na kubadilishana uzoefu lakini leo kila mtu na lwake.

Sasa hivi hakuna vikao vya kamati kuu kujadili mwenendo wa kampeni , ila Kuna vikao vya Mbowe na Team Lowassa.

Hakuna matamko ya Chama, ila Kuna matamko ya team Lowassa, Mbatia akiwa akitangulizwa mbele kama kondoo wa kafara.

Yuko wapi John Mnyika Naibu katibu mkuu Bara, yuko wapi Tumaini Makene msemaji wa Chama, Salumu Mwalimu ni kama anaburuzwa tu , japo alizunguka Tanzania nzima na watu tukamwelewa kuwa kijana ni hazina ya chama lakini leo kapotelea wapi? hatujui pengine nafsi inamsuta kwa kutenda asiyoyaamini.

Kwa kweli bado naiota Chadema yangu ya awali, Chadema ya kujitolea, Bila kujali gharama ama muda.

Japo sijui itarudi lini lakini bado naiota, Chadema ya makamanda wa ukweli sio hao wa sasa wa plastic.

Chadema ya Silinde, Lema, Sugu , Wenje, Lisu, Mdee, Mnyika, Msigwa wakiongea utapenda uendelee kuwasikiliza.

Na ndio waliochangia vijana wengi kujikita kwenye siasa kuanzia serikali za mitaa mpaka ubunge, sasa hivi si ajabu kijana wa miaka ishirini ni mwenyekiti serikali za mitaa, Madiwani ndio kabisa vijana wadogo kabisa ndio wanawania.

Ila hii Chadema ya Sumaye, Masha, Babu duni, duh!! Mungu atunusuru.
 
Chadema halisi ndio nini au lile kundi la Kibrah Nature limepata jina jipya?
 
Halafu huyu cjui kama anaelewa ...!!makamanda ndo hivo unakuta tuko kwa msafara unaamini wote mko ukurasa mmoja kumbe mwingine yuko ukurasa wake hili ni tatzo ..tuko porn makamanda tunamsaka adui kumbe mwingine hamjui hata huyo adui ye2, hii ni hatar..!!
Isitoshe hata sasa tunaposema tunataka mabadriko wengine yamkin hawa2elewi!!
Ugomvi we2 cyo wa2 watu ni walewale Mimi na ww,yule duniani hatuna mkamilifu yule umdhaniaye ndiye siye ..ndo maana tunasema makamanda ugomvi we2 na serkal ya ccm c watu ni mfumo wake na mfumo unaanza kwenye shina ambalo ni KATIBA ambayo imemwekea m2 mmoja kuwa na mamlaka ya kufanya maamz makubwa yanayohusu taifa le2 ..ndo maana tumeingizwa kwenye mikataba mibovu,na maamz mengi ya ajabu ajabu ..tatzo cyo wa2 tatzo ni katba ye2 imewapa mamlaka makubwa na hawa c malaika na ujue 'people ar selfish in nature' ndo maana tumeshuhudia watu wanapeana vyeo Kwa kujuana na hata kuwahonga mademu zao ...Wy katba imewapa hayo mamlaka..

Ushauri Wang makamanda rudini kundini ,na tuwaombe wote wanaotambua dhima hii na kutoka ccm waje tuungane vita hivi c vidogo ...tusipotezwe na hoja nyepesi za kutaka kujipiga vifua na sifa ..mabadriko haya ndiyo dhima ye2 kubwa tunachotaka ni kuweka katba ambayo yeyote atakayeingia katka utumishi wa uma katba ambao ndo msingi umnyooshe ...
Ahsanteni Mabadriko bila katiba mpya ya watz hayawezekani..
 
Mtoto halali na pesa wewe siunajua mahesabu? Bilioni 10 ziachwe? Wakati wanajua hata angesimama Dr.ni lazima chali kwa hio bora kuvuta mkwanja maisha yaendelee
 
Hilo liko wazi bado wapo wanachadema wengi tu ambao wanasimamia misingi ya Chadema asilia, sio hii ya Mbowe kubadili gia angani na kuuza chama.

Wagombea ubunge na udiwani wa Chadema, wengi sasa wanapigania maslai yao kwa maana ya viti wanavyoviwania.

Utashangaa baada ya uchaguzi dharau za wabunge zitavyoibuka dhidi ya Chama, ule utiifu kwa chama wote umeisha, Na mpaka sasa ndani ya Chadema hakuna wa kusimamia wala kufuatilia maendeleo ya wagombea majimboni zaidi ya wao wenyewe kukuruka.

Sasa hivi huwezi kuona umoja kama ule wa awali, wabunge kusaidiana kwenye majimbo, mbunge wa jimbo A kwenda kusaidia mgombea wa jimbo B.

Nakumbuka 2010 wabunge wengi sana kama sio wote walitembeleana majimboni, kupeana nguvu na kubadilishana uzoefu lakini leo kila mtu na lwake.

Sasa hivi hakuna vikao vya kamati kuu kujadili mwenendo wa kampeni , ila Kuna vikao vya Mbowe na Team Lowassa.

Hakuna matamko ya Chama, ila Kuna matamko ya team Lowassa, Mbatia akiwa akitangulizwa mbele kama kondoo wa kafara.

Yuko wapi John Mnyika Naibu katibu mkuu Bara, yuko wapi Tumaini Makene msemaji wa Chama, Salumu Mwalimu ni kama anaburuzwa tu , japo alizunguka Tanzania nzima na watu tukamwelewa kuwa kijana ni hazina ya chama lakini leo kapotelea wapi? hatujui pengine nafsi inamsuta kwa kutenda asiyoyaamini.

Kwa kweli bado naiota Chadema yangu ya awali, Chadema ya kujitolea, Bila kujali gharama ama muda.

Japo sijui itarudi lini lakini bado naiota, Chadema ya makamanda wa ukweli sio hao wa sasa wa plastic.

Chadema ya Silinde, Lema, Sugu , Wenje, Lisu, Mdee, Mnyika, Msigwa wakiongea utapenda uendelee kuwasikiliza.

Na ndio waliochangia vijana wengi kujikita kwenye siasa kuanzia serikali za mitaa mpaka ubunge, sasa hivi si ajabu kijana wa miaka ishirini ni mwenyekiti serikali za mitaa, Madiwani ndio kabisa vijana wadogo kabisa ndio wanawania.

Ila hii Chadema ya Sumaye, Masha, Babu duni, duh!! Mungu atunusuru.
ni muhimu kutambua Nguvu ya upinzani na siyo Nguvu ya chadema. Umoja ni Nguvu , utengano ni dhaifu. Kwa hiyo twende mbele na tuone ukubwa wetu na mapungufu yetu ndani ya Ukawa, kumbuka kampeni za miaka ya nyuma , dhihaka kubwa ya CCM ili kuwa udini, kuwa chadema ni wakristo, na CUF Waisilamu, umeona tumeungana imekufa, hawa shambulii vyama tena wanamshambulia mtu - lowassa
na issue ni ufisadi, nadhani bidiii kubwa iwe kwenye hiyo. Fisadi kwa nini hawampeleki mahakamani, wenyewe wana usafi gani, escrow etc
 
hapa ni magufuli tu maana siwezi kumchagua mwizi hafai kabisa
 
Kuna watu ambao twajua kazi zao na sio lowassa ila Dr Slaa amestahili hekima maana hata wabunge wengi waliopo madarakani ni kwa ajiri yake lakini sasa anaonekana msaliti mimi sidanganyiki kura yangu kwa magufuli
 
msimamo DR Slaa ni wa kuigwa vijana tuacheni mkumbo
 
Unapoona mtu anadhubutu kunyanyua mdomo wake huku akimsifu lowasa kua nikamanda na akimtuhumu dr.slaa kua ametumwa na CCM mtu huyo muangalie kwa jicho la tatu. Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unakuja na tuhuma zako ambazo hazina hata kamshiko. Lowasa amewalisha nini nyinyi? lowasa shida yake yeye awe rais na sio kutatua kero za watanzania kamaanavyo jinasibu kwenye majukwaa. Angekua ana nia ya kutatua asingetuibia kias hicho. Kama lowasa alikua anaona CCM, mfumo wake ni mbaya na hakuna demokrasia kwanini walichukua fomu ya urais? watanzania ifike mahali tuziache akili zetu zifanye kazi natupunguze mihemko ya vyama vya siasa "Politician ain't humanitarian" tunakazi ya kuijenga Tanzania yetu. Epuka matapeli
Mwizi huishia mahakamani, mimi , wewe na Yule, wote tunaongozwa na utawala wa Sheria, ogopa kumhukumu mtu kwa hisia hata mungu hapendi. Tunacho hangaika Nacho ni mfumo MBaya wa CCM, utawala mbovu, rushwa, tume huru nk. Hatuwezi kupigana vita hivi bila kuongeza nguvu za wengine, na kwa UCHAGUZI huu sumaye, lowassa wametuongezea nguvu sana , cha maana ni tutaishia wapi, na Mbele kukoje. Nina hakika idadi ya Viti bungeni, udiwani vitaongezeka, sina hakika na uraisi , lakini hivi lazima uwakilishi utaongezeka. Mfumo huu Ndiyo unakuza vyama. Hata mpira yanga, au Simba, au Barcelona. Wote wanaleta mastaa kutoka nje kwa bei za kutupa
 
Mnajichosha tu hapa kukisema chadema hapa ni ukawa tu yani ndo tushaamua hata msemejeee tunangojea tar tu ifike
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!
Mbona hujaenda na Slaa America kama ni mfuasi wake? Muda wa kuwa mfuasi wa mtu umekwisha. Uchaguzi wa mwaka huu theme yake kuu ni kubadilisha mfumo. Mtu baadaye
 
Back
Top Bottom