Recent content by mao tse tung

  1. M

    Ukweli unavyobaki kuwa ukweli ushahidi wa rai na mtazanzania ni kipimo cha ushindi wa ukweli.

    Ndugu zangu wana JF nilikuwa msomaji wa gazeti la Rai na Mtanzania, ukafika wakati nikayakimbia pale yaliporipoti uwongo. kimsingi magazeti haya yaliwahi kupingana na ukweli yakiwatetea na kuwasafisha mafisadi na kuwashambulia wale wote waliopupenda ukweli na kuusema ukweli. leo hii naandika...
  2. M

    Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    aliye kula rushwa ya Nimrod Mkono akaachia jimbo sii Nyakunguru bali ni Machael Makenji wa chuo kikuu cha Dodoma ambapo alijitoa baada ya kupitishwa kuwa mgombea wa musoma vijijini, na inasadikika alikula dola elf tatu.
  3. M

    Godbless Lema ndani ya Arusha live

    lema nilimaliza nae form six na alifaulu vizuri swala lakujiunga chuo kikuu sijui ila jamaa alikuwa kichwa kinoma. ngoja nimuulize alimaliza chuo hani nitamjua ni mshikaji wangu kinoma thogh hatujaonana for the long.
  4. M

    Sababu za polisi kuiba maiti usiku mochwari na kukamatwa Lissu Tarime

    naona dalili za kutokea yale ya Tunisia. kumbuka kilichosababisha rais wa tunisia kuondolewa ni kitendo cha kijana mmoja kuamua kujichoma baada ya kubugudhiwa na serikali. sasa kilichopo hapa CCM, kutumia nguvu za dola kuendelea kutawala kwa nguvu zitawatokea puani. wananchi tumeamua na sasa...
  5. M

    Norman Sigalla kwanini unahujumu chaguo la wana Hai?

    Norman ni mtu hatari sana mnafiki kwani anaweza cheka na wewe lakini yupo behind the move. yupo kikada sana na ndie aliyeasisi utaratibu wa kuwafanya watendaji wa kata kukwamisha shuguli mbalimbali mfano nenda kwenye maeneo yanayoongozwa na chadema kwa maana ya wenyeviti na madiwani. pia...
  6. M

    Norman Sigalla kwanini unahujumu chaguo la wana Hai?

    tunaambiwa sigala kawaseti watendaji wa kata na halmashauri ili juhudi za mbowe zisifanikiwe? yeye ndie anawatuma waandishi wa habari kuandika habari negativu za mbowe, inasadikika yeye ndiye mshauri mkubwa wa fuya kimbita na alimshinikiza kufungua kesi kwani yeye mwenyewe alimuahidi kikwete...
  7. M

    Hai kwachafuka; Viongozi wa CCM waendelea kula kichapo! Dr.feki anusurika kula kichapo

    Ile hali ya wananchi kuendelea kupoteza uvumilivu inaendelea kusambaa. Leo hii imetokea jimboni Hai jimbo la kiongozi wa upinzani pale mwenyekiti wa kijiji cha isuki kata ya masama kati walipojikuta wakila kichapo cha kutosha. sababu ya viongozi hawa kupewa kichapo ni pale chama cha mapinduzi...
  8. M

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    chadema
  9. M

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    mchange wewe ni mbaguzi sana. wewe tunaweza kukuita kibaraka kwani kuutumia ukabila udini na ubaguzi wote unao ufanya ni ishara tosha kiuongozi umeshindwa. nakuaminia kwa mikakati na wewe unaweza ukawa kiongozi mzuri kama utaacha tabia ya kutumia uchaga uislamu na majungu ili uingie madarakani...
  10. M

    Chadema Kortini tena Arusha

    Serikali ya CCM imefunguwa kesi kwa kupitia wanasheria wake kutaka kuwafunga wapambanaji wa CHADEMA.l eo tulikuwa mahakamani na mimi ni miongoni mwa washtakiwa katika kesi hiyo. cha ksikitisha kuna baadhi ya washtakiwa wenzetu hawakuja mahakamani. mama Joshephine na mwezake. kutokufika kwao...
  11. M

    Chondechonde Lipumba, okoa jahazi CUF .

    kwa sisi CUF viongozi tunafaidika pia ni kosa lajinai kukipinga chama tawala.sasa lengo letu ni kuiuwa cdm endelea kutuamini tumefunga ndoa na ccm tuondoe hichi chama cha makafiri
  12. M

    Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    Haya Bana Mh. masele. mbunge wa shinyanga aliyechaguliwa na wananchi ndo huyooo kapotea. sasa shinyanga wanawakilishwa na mbunge wa tume mh. mchakachuaji masele.
  13. M

    Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    masele kwa hiyo umejihakikishia ubunge wako wa kudumu.
  14. M

    Meya Arusha

    ipo siku tutamhamishia shambani
Back
Top Bottom