Ukweli unavyobaki kuwa ukweli ushahidi wa rai na mtazanzania ni kipimo cha ushindi wa ukweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli unavyobaki kuwa ukweli ushahidi wa rai na mtazanzania ni kipimo cha ushindi wa ukweli.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mao tse tung, Jun 2, 2011.

 1. m

  mao tse tung Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana JF nilikuwa msomaji wa gazeti la Rai na Mtanzania, ukafika wakati nikayakimbia pale yaliporipoti uwongo. kimsingi magazeti haya yaliwahi kupingana na ukweli yakiwatetea na kuwasafisha mafisadi na kuwashambulia wale wote waliopupenda ukweli na kuusema ukweli. leo hii naandika nikiwa na raha baada ya kuthibitisha ule usemi wa ukweli utabaki kuwa ukweli kwani aliyekuwa akiupinga ukweli iko siku ataamua kuachana na waongo na kuungana na ukweli ilimradi tuu ukweli unasimama kuwa ukweli. leo rai inaungana na watanzania kueleza ni jinsi gani tunavyoibiwa na namna Dr. slaa anavyosaidia kuuelimisha umma ili uweze kuwakabili mafisadi.
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bosi wao anakaribia kuvuliwa Gamba na Ngozi unadhani ataendelea kuitetea CCM? Swali ni Je yataandika ukweli kuhusu KAGODA, RICHMOND, DOWANS na sasa SYMBION??
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni wanafiki hao. Wamejeruhiwa na wale waliowaamini kwamba wangewalinda sasa wanaanza eti kuwageuka. Hatuwataki ni wasaliti wakubwa wa Watanzania hawa.

  Walimpiga vita sana Dr. Slaa wakati ule alipotaka kuleta ukombozi. Leo wamesaidia mpaka Magamba wameikamata nchi ndio wanajifanya kujuta.

  Kwanza waombe radhi kwa dhambi kubwa ya kuwasaliti Watanzania pamoja na Vizazi vyao bila kusahau wale ndugu zao wanaopata tabu kule vijijini na kuuliwa ovyo na serikali hii dhalimu ya CCM.
   
 4. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Siasa ya böngo imefikia patamu "ukimwaga ugali mimi namwaga mboga" bora tukose wote
   
Loading...