mao tse tung
Member
- Mar 24, 2011
- 51
- 11
tunaambiwa sigala kawaseti watendaji wa kata na halmashauri ili juhudi za mbowe zisifanikiwe? yeye ndie anawatuma waandishi wa habari kuandika habari negativu za mbowe, inasadikika yeye ndiye mshauri mkubwa wa fuya kimbita na alimshinikiza kufungua kesi kwani yeye mwenyewe alimuahidi kikwete kwamba atahakikisha jimbo la hai linabaki ccm na yeye ateuliwe kuwa mbunge. hivyo anabifu sana na bwana mbowe kuna mahali tulikaa nae akawa anamponda sana mh. Mbowe na kusema atahakikisha mbowe anaupoteza ubunge. huyu mtu tumpe adhabu gani? wana Jf naomba ushauri