Kwa kweli tatizo la maji ni kubwa sana katika taarafa ya ismani hasa vijiji vya chamdindi Ikengeza Mawindi etc. Wananchi wanadanganywa kwa kuwekewa /kuchimbiwa visima vifupi ambavyo maji ni ya chumvi hata Kunguru wanayatema. Aliahidi ifikapo mwezi wa january 2014 wananchi wa vijiji nilivyovitaja...
Salaam zako nzuri sana, lakini pamoja na mifano yako mizuri upinzani uliopo bado ni mdogo na hauna msisimko kabisa. Wapo wazuri wanaojenga hoja za maana lakini hawasikiki/ hawaonekani kuyafanya yale wanayoyasema. Kama ulivyo mnukuu Prof. Siyo rahisi kwa upinzani kushika dola kwa miaka ya...
Wakenya wamalize matatizo yao wao wenyewe, siyo kila kitu kisichochao wanataka wao. Tanzania tulikuwa na tatizo la mbegu za mahindi, tukawaomba kenya watuuzie kwa ajili ya msimu wa kilimo na walikataa. Baadaye wanataka wauziwe mahindi, wakaambiwa mahindi hakuna kwa sababu hawakukuwa na mbegu...
Kalyempale, wote mnaowatakia wenzenu mabaya. Ndege wale wameingia karibu na makazi ya watu baada ya kukata miti ambayo walikuwa wanakaa. hivyo wamesogea maeneo ya makazi ambako kuna miti. ndege wale siyo wa ajabu ni ndege wakawaida wamekuwepo siku nyingi maeneo ya ziwani na wanakula samaki...
kalyepale, wote mnaowatakia wenzenu mabaya. Ndege wale wameingia karibu na makazi ya watu baada ya kukata miti ambayo walikuwa wanakaa. hivyo wamesogea maeneo ya makazi ambako kuna miti. ndege wale siyo wa ajabu ni ndege wakawaida wamekuwepo siku nyingi maeneo ya ziwani na wanakula samaki...
Acha matusi siyo kweli kuwa wananchi wa kalenga wamechagua CCM kwa sababu ya kanga na kofia bali imani yao kwa mgombea ubunge. Mlimwacha aliyekuwa nafasi ya kwanza kwenye kura ya maoni, hayo ndiyo majibu yake. mmefanya makosa waliyofanya CCM Iringa mjini mwaka 2010 na matokeo yake wakapoteza jimbo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.