Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

1. David Mathayo David
2. Wenje
3. Magufuli
4. Mchungaji Msigwa
5. Kivia
6. Koney wa Mbulu
7. Anna Tibaijuka
8. Anna Makinda
9. Hamis Kigwangala
10. Lissu
11. prof Magembe
 
1. David Mathayo David
2. Wenje
3. Magufuli
4. Mchungaji Msigwa
5. Kivia
6. Koney wa Mbulu
7. Anna Tibaijuka
8. Anna Makinda
9. Hamis Kigwangala
10. Lissu
11. prof Magembe
Kwani lazma wawe wabunge? na Je, umetumia vigezo gani kuwapata?
 
Mbunge wa Segerea na Wa kinondoni na Mrema pia watasahaulika.
 
Getrude Lwakatare jimbo la vatican lazima lichukuliwe na mwingine
 
Mama Mwaiposa jimbo la ukonga....
Huyu hata sidhani kama atagombea.
 
Ntukamazina wa Jimbo la Ngara, uhakika 99.9%
 
Ontario la huyo mama yetu Mwaiposa wa UKONGA usiniambie sikuungi mkono .Huyo ni kipenzi chetu hakuna mbunge anayefanya kazi na wananchi kama yeye . Hatumwachi tutampigania. Kama hagombei tutamshawishi. Tena Acha upimbi wako usio na utafiti.
 
Back
Top Bottom