Napendekeza Mabadiliko Wizara ya Mambo ya Nje

Napendekeza Mabadiliko Wizara ya Mambo ya Nje

Wateule

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
390
Reaction score
368
Katika mabadiliko hayo, naomba Mh. Rais ateue kama ifuatavyo:

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa: Mh. Jakaya Mrisho Kikwete

Naibu Waziri: Mh. Bernard K. Membe

Asanteni.
 
hoja yako haina mshiko uliamua umalizie mb zako kabla ya muda haujaisha
 
Katika mabadiliko hayo, naomba Mh. Rais ateue kama ifuatavyo:

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa: Mh. Jakaya Mrisho Kikwete

Naibu Waziri: Mh. Bernard K. Membe

Asanteni.
Toa sababu za msingi kwann afanye ivo
 
Na Nyie Siyo Kila Kitu Akifanyacho Rais Wetu Ni Kibaya tu Mbona Kuna Mengi tu Mazuri Katufanyia? Tuache Majungu na Chuki Za Kihayawani..............!!!!!!!!!!!!!!!! Binafsi Yapo Mengi Ambayo Namshukuru na Nitamshukuru Na Kiuongozi Changamoto Hazikosekani Kwani Hata Awamu Zilizopita Nazo Zilikuwa Na Uozo Wake. Hata Tupige Majungu Vipi Humu na Fitna Jakaya Mrisho Kikwete Ndiyo Rais na Kiongozi Wetu Hutaki KAKANYAGWE na Hao UNAOWATAKA Wewe!!!!! Msituchanganye Mapema Asubuhi Yote Hii. Muda Mwingine MNABOA.
 
mleta mada u sawa sawia, kwani ni nani kati yao ni mwanadiplomasia na mwenzie ni mtawala wa wizara tuu
 
Toa sababu za msingi kwann afanye ivo

Sababu ni nyingi tu, ila kuu ni kwamba JK utendaji wake ni kama waziri wa mambo ya nje kuliko Rais. Hivyo basi, ni bora ajikabidhi madaraka ya hiyo wizara yake aliyokuwepo kwa miaka 10 (pengine ana miss majukumu yake). Wewe haufahamu kwamba JK anaongoza kwa safari za nje (achilia mbali gharama lukuki) sasa hivi kuliko rais yeyote aliyemtangulia?
 
Back
Top Bottom