Kwenye chaguzi zote wenye maamuzi ya mwisho ni wananchi,kalenga wananchi wameamua tunaheshimu maamuzi yao,swali la kujiuliza wananchi wana elimu ya kutosha kuhusu elimu ya uraia au wamechagua kwa sababu ya ushabiki,kanga,kofia na pilau,je wanajua kwamba serikali hii ya ccm iko madarakani kwa 50 sasa na hakuna walichofanya,je wanajua shule hazina walimu,hakuna vitabu,hakuna maabara sababu ya uzembe wa ccm na seriakali yake,je wnajua ccm na serikali yake ndio wanaingia mikataba mibovu ya gas,madini na uwekezaji mwingine ambayo haina faida kwa taifa
Am just thinking, ni mtazamo wangu.
Am just thinking, ni mtazamo wangu.