M/Watanganyika kwa Kiingereza

M/Watanganyika kwa Kiingereza

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,633
Reaction score
5,613
Wadau ; Naiona Tangayika inakuja kwa kasi. Sasa najiuliza mtanganyika au Watanganyika wataitwaje kwa kiingereza? Tumezoea Tanzanian/s
 
Wataitwa WAMRIMA, Hakuna watanzania bara au mutwambie bandari ya dar tanga tabora n.k pamoja na visiwa vya mafia vipo nchi gani?.
 
tanganyika.jpg
 
Kwa maelezo ya warioba jana ni kwamba hakutakuwa na mtanganyika wala mzanzibari bali watanzania pekee, sababu uraia utakuwa ni wa nchi moja.
 
Wadau ; Naiona Tangayika inakuja kwa kasi. Sasa najiuliza mtanganyika au Watanganyika wataitwaje kwa kiingereza? Tumezoea Tanzanian/s

Sio Kazi yako kujua, waachie wenye Lugha yao wenyewe Wamarekani ndio watajua wakuite vipi! Cha muhimu sisi tunajua Kiswahili tunajiitaje basi!
 
Mzanzibari anaitwa Zanzibaris na sio Zanzibarian
Kwahiyo Mtanganyika ataitwa Tanganyikas

acha uongo bwana.kuna tofauti kati ya zanzibaris na zanzibarian.zanzibaris ni watu wa zanzibar na zanzibarian ni mzanzibar.take this mpoland anaitwa a POLI ila watu wa poland wanaitwa polish two different things
 
Mbona Tanganyika ilikuwepo mpaka April '64 kwani watu waliitwaje?
Maana sio jina geni.
 
acha uongo bwana.kuna tofauti kati ya zanzibaris na zanzibarian.zanzibaris ni watu wa zanzibar na zanzibarian ni mzanzibar.take this mpoland anaitwa a POLI ila watu wa poland wanaitwa polish two different things

Haya twende shule sasa.
Zanzibaris umesema ni watu wa Zanzibar kwa maana wazanzibari
Zanzibarian ni mzanzibar
Sasa ikiwa Zanzibarians ina maana ya wazanzibar,je tofauti na Zanzibaris ipo wapi

Haya twende- Zanzibaris - Zanzibarian - Zanzibarians

Tanzanias -Tanzanian -Tanzanians
Kenyanias- ------------------
Ugandas ---------------------

Hapo vipi
 
Hakuna Zanzibarian mkuu ni Zanzibaris

Km Iraqis, hakuna Iraqian.
 
mhh,hakuna kitu inaitwa tanzanias,kenyanias,ugandas, labda umeisoma huko pemba
 
Haya twende shule sasa.
Zanzibaris umesema ni watu wa Zanzibar kwa maana wazanzibari
Zanzibarian ni mzanzibar
Sasa ikiwa Zanzibarians ina maana ya wazanzibar,je tofauti na Zanzibaris ipo wapi

Haya twende- Zanzibaris - Zanzibarian - Zanzibarians

Tanzanias -Tanzanian -Tanzanians
Kenyanias- ------------------
Ugandas ---------------------

Hapo vipi

unadhani hiyo ni formula inatumika? punguza kukariri japo kidogo tu.

Many Zanzibaris are now refusing to sleep in their
houses as they believe it only preys on people in the
comfort of their own beds.
The ghost or genie goes by the name of Popo Bawa

huo ni mfano tu jinsi gani unaweza kuwaita wazanzibar.tofautisha a person and people.kama mwalimu wako wa kiingereza bado yuko hai hebu mtake radhi kidogo
 
Hakuna Zanzibarian mkuu ni Zanzibaris

Km Iraqis, hakuna Iraqian.

iraqis unawajua? nimesema unawajua kwa kuwa sio mtu mmoja.iraqis are people from iraq.ila a person from iraq is called an iraqi.kaulize kwa rafiki ndugu na jamaa then jibu lihifadhi kama haliko upande wako.ulichokisema ni sawa na mtanzania aitwe a tanzanians hahahahaha
 
Ndo hayo kwa hayo.

We ulichokiona ni hio singular na plural tu?

Haya basi, Iraqi, muirak mmoja, Iraqis, wairak wengi.

Zanzibari, mzanzibar mmoja, Zanzibaris, wazanzibar wengi.

Kwa ufupi hakuna Zanzibarian wala Zanzibarians.
 
Looh kumbukumbu kubwa ukitoa noti ya shilingi kumi unasafiri kutoka Mwanza hadi Dar kwa treni unarudishiwa chenji ya kutosha kuishi Dar.
 
Back
Top Bottom