Wana jf,
huyu ndugu aliahidi kutatua tatizo la maji katika kampeni ya mwaka 2005, miaka mitano ikapita bila mafanikio, akaomba tena ridhaa mwaka 2010 hapo alisaidiwa na JK ambae alidai suala hilo atalibeba yeye raisi kama atapewa ridhaa ya kuongoza tena, lakini mpaka sasa tatizo lipo palepale isipokuwa marachache hutoka kama kuna ziara ya viongozi wa mkoani au taifan.
kiukweli umekuwa wimbo na kutugeuza wana wa Ismani wendawazimu kwa kuwarubuni kwa pilau, na viremba kutokana na kukosa ufaham na umaskin.
Ebu tuahidi tena basi lini utatutekelezea ahadi mliyo ahidi na bosi wako.